• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC CHALAMILA ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA JIMBO LA KIBAMBA

Posted on: April 9th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila  April 9, 2025 amefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Saranga Jimbo la Kibamba wenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa jimbo hilo ambapo ameahidi kuzipatia ufumbuzi kero mbalimbali zinazowakabili wananchi hao.

Akisikiliza kero za wananchi wa Kata ya Saranga, RC Chalamila amepokea changamoto mbalimbali zikiwemo za kutokamilika kwa Zahanati, Changamoto za Elimu, Miundombinu ya barabara, Maji, Umeme, Afya, migogoro mbalimbali ya Ardhi na changamoto za Kisheria ambazo amewataka watendaji kuhakikisha wanazishughulikia Mara moja.


Akijibu hoja ya kutokamilika kwa zahanati. Chalamila amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungu Aron Kagurumujuli  kuwa ifikapo Ijumaa wiki ijayo  ahakikishe jumla ya shilingi Milioni 100 zinapelekwa kwa ajili ya  ujenzi wa zahanati katika kata hiyo ili ujenzi uweze kuanza na kukamilika.

Akijibu kuhusu changamoto ya barabara Chalamila amesema jumla ya barabara 3 zimeingizwa katika Mradi wa World bank na kati ya barabara hizo mojawapo ni ujenzi wa  barabara ya Saranga na  Ukombozi ambapo pamoja na mambo mengine amewaeleza wananchi kuwa Serikali inaendelea kujiridhisha katika mambo mbalimbali ya kifedha na kisheria ili ujenzi uanze ikiwemo fidia kwa wananchi ambao nyumba zao zitapitiwa na mradi huo wa barabara.

Katika hatua nyingine, Chalamila amesema Serikali imejenga tanki la maji linaloenda kusukuma maji  katika kata hiyo huku akiwataka wananchi kuwa na uvumilivu pale ambapo Serikali inapambana kutatua changamoto zinazowakabili.

Amesema mradi huo wa tanki la kusukuma maji Kibamba umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 36.8 na tanki hilo linasaidia wakazi wa jimbo la Kibamba, Segerea, na wilaya ya Kinondoni kupata maji.

Katika ziara hiyo, Mh. Chalamila ameweke jiwe la msingi katika Mradi wa zahanati ya Mpiji Magohe unaojengwa  kwa gharama ya shilingi 615,000,000 mpaka kukamilika kwake na zahanati huku zahanati hiyo ikihudumia wananchi wapatao 108,466 ambapo ujenzi wake mpaka sasa umefikia asilimia 85.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.