• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC KUNENGE APOKEA MSAADA WA MADAWATI 400 KUTOKA NMB

Posted on: January 22nd, 2021

Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam, Abubakar  Kunenge leo januari 22, 2021amekabidhiwa   msaada wa madawati 400 kutoka benki  ya NMB ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono agizo la mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli la kutaka wanafunzi wasikae chini ikiwemo wanafunzi wa shule ya msingi king'ongo.


Benki ya NMB imekabidhi madawati hayo  katika shule ya msingi king'ongo ambapo kunajengwa madarasa tisa (9) kufuatia agizo la Mhe Rais la kutaka wanafunzi wa shule hiyo wasikae chini Wala kusomea nje.


Akiongea kabla ya kukabidhi madawati hayo , Kaimu Mkuu wa Fedha wa benki hiyo ndugu Benedicto Baragomwa amesema kuwa madawati 150 kati ya 400 yaliyotolewa na benki hiyo ni kwa ajili ya shule ya msingi King'ongo huku yanayobaki kupelekwa shule ya Makabe,  Kibwegere, Mpigimagoe na shule ya sekondari Kimara kwa lengo kupunguza changamoto ya upungufu wa madawati katika shule hizo.


Baragomwa ameeleza kuwa "Tulipoona changamoto ya ukosefu wa madawati katika shule ya  msingi King'ongo sisi kama taasisi ya Nmb tukaona tutoe msaada wa madawati haya katika kuendeleza juhudi za serikali  za kuboresha mazingira ya kujifunza na kujifunzia kwa  kujenga madarasa na kutengeneza madawati ili wanafunzi wasome kwenye mazingira magumu


Mkuu wa mkoa wa  Dar Es salaam Mhe Abubakar Kunenge ameishukuru benki ya Nmb kwa msaada wao kwani utasaidia kupunguza changamoto ya madawati kwenye shule za Mkoa you  hasa shule ya King'ongo ambayo  baadhi ya wanafunzi walikuwa wanakaa chini. 


Kunenge amewaeleza wananchi kuwa serikali kwa kushirikiana na wadau  inaendelea kutatua kero zao  mbalimbali  ikiwemo kujenga  miundombinu ya madarasa pamoja kutegeneza  madawati ambapo kwa sasa jumla ya madawati elfu arobaini  (40,000) yapo katika hatua mbalimbali za utengenezaji ili kumaliza kabisa changamoto ya madawati katika shule za Mkoa huo. 


Kwa upande wa madarasa, Kunenge amesema Mkoa una upungufu wa madarasa 339 na kazi ya ujenzi wa madarasa hayo inaendelea na yanatarajia kukamilika februari 28 2021 ambapo mpaka leo jumla ya madarasa 97 yameshakakilika


"Niwahakikishie wananchi wa king'ongo na Dar Es salaam kwa ujumla kuwa tumejipanga kutatua changamoto za madarasa na madawati  katika shule zote ili wanafunzi wawe na mazingira bora ya kujifunza na kujifunzia"


Kunenge  ameengpdelea kueleza kuwa, matokeo ya mitihani wa  darasa la saba mwaka 2020 , mkoa wa Dar Es salaam uliongoza  kutokana na juhudi za serikali na ufundishaji mzuri wa walimu, hali iliyopelekea   uwepo wa wanafunzi wengi katika shule za sekondari. Aidha kwa upande wa shule za misingi hadi kufika mwezi machi mwaka huu, jumla ya wanafunzi wa darasa la kwanza elfu sabini na nane (78,000) yanatarajiwa wameandikishwa.


 wanafunzi, ameishukuru  benki ya NMB kwa msaada wa madawati hayo  kwani wanafunzi sasa waliokuwa wanakaa chini watakuwa wanakaa  kwenye madawati hali itakayosakdia wanafunzi kujifunza katika mazinga mazuri.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.