• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC KUNENGE APOKEA MSAADA WA MIFUKO YA SARUJI 800

Posted on: January 21st, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam, Abubakar  Kunenge leo januari 21, 2021 amepokea msaada wa mifuko 800 ya saruji kutoka kiwanda cha Saruji cha Twiga   jijini Dar Es salaam kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya madarasa ya shule za msingi na sekondari za Manispaa ya Ubungo.


Mara baada ya kukabidhiwa msaada huo katika eneo la kiwanda hicho,  Kunenge amemkabidhi mifuko hiyo ya saruji Mkuu wa Wilaya y Ubungo mhe. Kisare Makori kwa ajili ya kukarabati  madarasa chakavu na ujenzi mpya wa madarasa katika shule za Manispaa  ya Ubungo ikiwemo shule ya msingi King'ongo inayoendelea na ujenzi wa madarasa 9 kwa sasa.

Rc Kunenge akikagua mradi wa ujenzi wa madaraka 9 shule ya msingi king'ongo 

Kunenge amekishukuru kiwanda cha saruji cha Wazo hill kwa msaada  huo hasa katika kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambacho shule zinapokea wanafunzi wa awali, darasa la kwanza na  kidato cha kwanza hivyo uhitaji wa miundombinu ya madarasa ni mkubwa sana.


Kwa mwaka huu 2021,Kunenge ameeleza kuwa kutokana na mafanikio ya sera ya elimu bila malipo Mkoa wa Dar Es salaam umeandikisha  jumla ya wanafunzi elfu 78  kwa ajili ya kujiunga  na darasa la kwanza.


Kutokana na idadi ya uandikishwaji huo kuwa mkubwa  umepelekea Mkoa  kuwa na upungufu wa madarasa 337  kwa shule za sekondari ambapo madarasa hayo yameanza kujengwa na yapo katika hatua mbalimbali na yanatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi februari.


Kunenge amesema  kuwa "Nina amini,  kwa Wilaya ya Ubungo mifuko hii ya saruji niliyowakabidhi itakwenda kutatua kabisa changamoto ya madarasa kwa shule za msingi na sekondari,  kaitumieni vizuri" 

Maendeleo ya ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi king'ongo 




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.