• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC MAKALLA AAGIZA, OFISI ZOTE ZA KATA,MITAA KUWA NA WALINZI MASAA YA KAZI

Posted on: October 12th, 2021

- Ni baada ya Mtendaji wa Mtaa wa Msumi Kata ya Mbezi ndugu Kelvin Mowo kushambuliwa  na kuuawa ofisini kwake Jana october 11,2021

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Amos Makalla ameagiza Ofisi zote za Kata na  Mitaa kuwa na walinzi ili kuepusha vitendo vya uhalifu ikiwemo  kuvamia na kuwadhuru  watumishi Wakati wakitekeleza majukumu yao.

Makalla amesema hayo kufuatia kifo cha Mtendaji wa Mtaa wa msumi kata ya Mbezi ndugu Kelvin Mowo baada ya kishambuliwa Kwa mapanga na watu wasiojulikana Jana october 11,2021 ofisini kwake akiwa anaendelea kutekeleza majukumu yake ya kutatua mgogoro wa ardhi.

Makalla amesema "Ninaagiza kuanzia sasa  Ofisi zote za Mitaa na kata kuwa na polisi Jamii au mgambo waliopitia mafunzo Kwa ajili ya  kusimamia ulinzi na usalama katika Ofisi hizo sambamba na kufanya ukaguzi kwa kila anayeingia ofisini kupata huduma" 

Aidha, Makalla amewasihi wananchi kuacha tabia ya kuchukua sheria mkononi ya kuwadhuru watumishi au wananchi wenzao na kueleza kuwa  vyombo vya Sheria ndivyo vyenye mamlaka ya kutoa haki Kwa kujibu wa sheria   na sio vinginevyo

Nae  kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar Es salaam ndugu Jumanne  Muliro Jumanne alisema kuwa mpaka sasa watuhumiwa watatu wanaodaiwa kufanya kitendo hiko Jana Oktoba 11, katika ofisi  ya Afisa Mtendaji huyo wakati alipokuwa anatekeleza majukumu yake ya kusikiliza mgogoro wa ardhi wamekamatwa na upelelezi unaendelea.







Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.