• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC MAKONDA AMALIZA KUKAGUA NA KUKABIDHI MIRADI ILIYOTEKELEZWA WILAYANI UBUNGO KWA UONGOZI WA CHAMA MKOA

Posted on: July 1st, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-Salaam Mhe.Paul Makonda  amemaliza ziara yake wilayani Ubungo na kukabidhi miradi ya maendeleo iliyotekelezwa Wilaya ya Ubungo tangu Mhe. Rais wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli aingie madarakani kwa Viongozi wa Chama Mkoa.

Katika ziara hiyo aliongozana na  Kamati ya siasa Mkoa ikiongozwa na Mwenyekiti wa chama cha CCM Mkoa Bi. Katte Kamba, Katibu wa chama Mkoa Ndg. Zakaria Mwansasu, na kupokelewa na Viongozi wa chama Wilaya wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama Wilaya ya Ubungo Ndg. Lucas Mgonja Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori  Mkurugenzi wa Manispaa Beatrice Dominic na wataalam kutoka Manispaa hiyo.

Miradi iliyotembelewa na kukabidhiwa ni Mradi wa ujenzi wa barabara ya Shekilango na viunga vyake 4 ya urefu wa KM 7.5, Mradi wa ujenzi ya Wodi ya wagonjwa na chumba cha upasuaji kituo cha Afya Sinza, Upanuzi wa mto Ng'ombe KM8.5 na mto Kiboko KM 3.5, Kuona kazi za wajasiriamali Vikundi 20 waliopewa mikopo na Halmashauri jimbo la Ubungo eneo la SIMU 2000 Mawasiliano, Ujenzi wa daraja la juu la Ubungo (Ubungo Flyover).

Miradi yote iliyotembelewa kwa jimbo la Ubungo ilikuwa na gharama ya Tsh Bilioni 359,208,475,450.71  na kwa jimbo la Kibamba ilikuwa na gharama ya Tsh.Bilioni 200,471,501,998.70 na jumla ya miradi hiyo kwa Kibamba na Ubungo ilikuwa na gharama ya Tsh 559,679,977,449.41

”Nitoe pongezi kwa viongozi wa  Wilaya ya Ubungo kwa ujenzi unaoendelea katika kituo cha Afya cha Sinza Palestina  chenye uwezo wa kutibu wagonjwa wengi kwa juhudi wanazoendelea nazo za upanuzi wa jengo hilo” alisema Mkuu wa Mkoa.

Alisisitiza kuwa waliopata mikopo ilikuwa ni agizo la Mhe. Rais na ilikuwa ni sera ya Chama cha Mapinduzi katika kuhakikisha wajasiriamali wadogo wananufaika na mikopo hiyo.

”Kuanzia leo tarehe 1/7 shughuli zote ziendelee wananchi waendelee kufanya shughuli zao waweze kupata kipato na wasiwe na hofu na pia boda boda na bajaji zote kutoka mahali popote zifanye kazi zake bila kusumbuliwa na ziingie mjini kama kawaida ila kwa kufuata sheria na taratibu” aliongeza Makonda.

Mwisho Mwenyekiti wa chama Mkoa aliipongeza Wilaya ya Ubungo  kwa miradi mikubwa na yenye viwango vya juu na kusisitiza kuendelea kuwahudumia wananchi.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.