• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

SERIKALI KUJA NA MPANGO WA DHARURA NA HARAKA KUTATUA CHANGAMOTO YA USAFIRI WA MWENDOKASI

Posted on: October 1st, 2025

Kufuatia changamoto kubwa ya usafiri wa mwendokasi ambayo inaendelea hivi sasa katika barabara ya Morogoro kuanzia Kituo cha Kimara Mwisho mpaka Gerezani, serikali imeamua kuja na mkakati maalumu wa kutatua changamoto hiyo kwa kuongeza idadi ya mabasi ya ziada katika kipindi hiki cha kusubiri mabasi ya njia hiyo yafike nchini

Hayo yamesemwa alfajiri ya  Oktoba 01, 2025 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila alipofanya ziara katika Kituo cha mwendokasi cha Kimara Mwisho na kujionea adha kubwa wanayopata wananchi wanaotumia usafiri huo

Chalamila ameeleza kuwa, kwa kipindi sasa usafiri huo umekuwa na changamoto ambayo inasababishwa na uchache wa mabasi hayo ambayo kwasasa yanayofanya kazi hayazidi mabasi 40 Hali inayopelekea wananchi kusubiri kwa muda mrefu vituoni

Tayari serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilishafanya maamuzi ya kuongeza mwekezaji mtoa huduma katika usafiri wa mwendokasi ambapo mabasi mapya yatakayotumika katika njia ya morogoro yanatarajiwa kufika nchini hivi karibuni

Hata hivyo, Chalamila ameeleza kuwa wakati wowote kuanzia kesho oktoba 02, 2025 serikali itachukua mabasi kadhaa kutoka kampuni ya MOFAT kutoka barabara ya Mbagala, ili kusaidia kutatua changamoto ya usafiri kwa barabara ya Morogoro ambayo imezidiwa huku tukiendelea kusubiri mabasi mengine kufika nchini

"Kwanza niwaombe radhi ndugu wananchi kwa changamoto mnazopitia katika usafiri huu. Serikali inaona na inafanyika kazi kwa haraka ili kumaliza changamoto hii kwa wakati. Naomba sana muwe watulivu na wavumilivu katika kipindi hiki cha kadhia hii" alisema Chalamila

Wakitoa maoni yao wananchi wameeleza kuwa, wanaomba daladala za kawaida ziruhusiwe kupita katika njia ya mwendokasi ili kutatua changamoto hiyo kwa muda mfupi wakati suluhisho la kudumu linafanyiwa kazi, maoni ambayo RC Chalamila ameahidi kuyachukua na kwenda kuyafanyia kazi haraka kutoka sasa kwa kukaa na wadau wa sekta ya usafirishaji wakiwemo LATRA, UDART na jeshi la polisi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA UONI DUNIANI KWA UPIMAJI BURE WA MACHO ZAHANATI YA GOBA

    October 15, 2025
  • DC MSANDO ATEMBELEA MRADI WA MAJI KING'ONG'O, AONGEZA MUDA KWA DAWASA KUKAMILISHA KWA UBORA

    October 13, 2025
  • DC MSANDO AWATAKA WENYEVITI KUWASILISHA TAARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI

    October 04, 2025
  • SERIKALI KUJA NA MPANGO WA DHARURA NA HARAKA KUTATUA CHANGAMOTO YA USAFIRI WA MWENDOKASI

    October 01, 2025
  • View All

Video

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | WANAFUNZI WAASWA KUJITUNZA
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.