• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

Posted on: June 30th, 2025

Serikali kupitia wizara ya Maendeleo ya jamii, wanawake na makundi maalumu  Juni 30, 2025 imezindua Madawati ya Huduma za ustawi wa jamii katika vituo vya usafirishaji nchini pamoja na uzinduzi wa  kiongozi cha taratibu za utoaji wa huduma za kijamii kwa watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika kituo cha mabasi Magufuli, Waziri wa wizara ya Maendeleo ya jamii, wanawake na makundi maalumu Mh. Dorothy Gwajima alisema lengo ni kusaidia katika utoaji wa huduma katika vituo vya usafiri, kusaidia kubaini mapema viashiria vya hatari ikiwemo ukatili, usafirishaji haramu na utoroshwaji wa watoto ili kuwaokoa kabla hawajaingia mtaani.

Alisema, Uzinduzi wa dawati hilo katika kituo cha mabasi Magufuli unafanya kuwa na jumla ya idadi ya Madawati 14 ya huduma nchini yaliyopo katika vituo vya usafirishaji kwenye mikoa 11 ikiwemo mikoa ya Tabora, Mbeya, Dodoma,  Kagera, Arusha, Morogoro, Songea, Shinyanga (2), Njombe, Mwanza (2), na Dar es Salaam. 

Alisisitiza kuwa madawati hayo yanalenga kutoa huduma za ustawi wa jamii kwa makundi maalumu ikiwa ni pamoja na kuwaokoa watoto katika vituo vya usafiri na kuonyesha viashiria vya kutelekezwa, kufanyiwa ukatili, kuingia katika ajira za watoto na kuishia mtaani.

Aidha alisema, watoto wanaoishi na kutelekezwa mitaani ni suala linalohitaji nguvu za kila sekta na wadau wote wa umma, Serikali,  na sekta binafsi, wizara za kisekta,  taasisi za serikali,  mamlaka za mikoa na serikali za mitaa, madawati ya polisi ya Jinsia,  wadau mbalimbali, viongozi wa dini, wazee wa kimila, na jamii yote kwa ujumla.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wizara ya Maendeleo ya jamii,  jinsia na makundi maalumu Bw. Amon Anastaz Mpanju amewataka viongozi ngazi za Halmashauri kuhakikisha madawati yote ya kutolea huduma yanaimarishwa ili kuhakikisha kero na changamoto za watoto wa mitaani zinashughulikiwa kwa wakati na kupatikana kwa mrejesho haraka.





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.