• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

SILINDE AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO UJENZI WA MADARASA S/M KING'ONGO

Posted on: January 23rd, 2021

Naibu Waziri Ofisi ya Rais - Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI) David Silinde, ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa  kutekeleza kwa  haraka agizo la Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli la kuitaka Manispaa hiyo kuhakikisha wanafunzi wa shule ya King'ongo wahakai chini wala kusomea nje baada ya  taarifa za upungufu wa miundombinu katika shule hiyo hiyo kurushwa  kwenye mitandao ya kijamii.

Silinde ametoa pongezi hizo  leo januari 23 alipotembelea na kukagua utekelezaji wa ujenzi wa madarasa 9 na choo chenye mafundi  12 katika shule hiyo  na kueleza kuwa ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa maradi huo ambapo kwa muda wa Siku tano madarasa hayo yamefikia hatua ya linta, hongereni kwa kutii agizo  la Mhe. Rais kwa haraka.

Ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi king'ongo Manispaa ya Ubungo ukiwa hatua ya linta 


"Kufanikiwa  kufikia hatua ya linta ndani ya Siku tano kwa  madarasa tisa yanayojengwa hapa shule ya msingi King'ongo, inatoa tafsiri  tosha  kuwa viongozi tunauwezo wa kutekeleza miradi ya serikali kwa wakati tukiamua na tukidhamilia" amesema lusinde.

Amesisitiza kuwa, Kwa kasi hii kumbe darasa linaweza kukamika ndani ya mwezi mmoja  lysine amesema  hakuna  sababu ya kuchelewesha miradi kwani inawezekana kukamilisha kwa wakati kama walivyofanya Manispaa ya Ubungo.

Kufuatia agizo la mheshimiwa Rais  kwa manispaa ya ubungo,  Silinde ameziagiza halmashauri zote nchini zenye wanafunzi wanakaa chini au kusomea nje kuhakikisha wanaanza ujenzi wa madarasa pamoja na utengenezaji wa madawati ili kuhakikisha changamoto hiyo  inamalizika kabisa kwa wanafunzi wa sasa na kuwa na mipango kwa ajili ya mwaka ujao kwani idadi ya wanafunzi itaongezeka kutokana na fursa ya elimu bila malipo.


Akitoa taarifa mbele ya Naibu waziri OR-TAMISEMI Mhe David  Silinde, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic amesema, Manispaa inaendelea kutekeleza agizo la mhe Rais ambapo ujenzi wa madarasa 9 unaendelea na kufikia januari  31, 2021 madarasa yatakuwa umekamilika pamoja na madawati na wanafunzi wataanza kuyatumia rasmi tarehe 5 februari, 2021.

Amesema kujenga madarasa pamoja na madawati haitoshi, hivyo Manispaa ya nimeamua kujenga choo chenye matundu 12, mradi huu hadi kukamika kwake utagharimu jumla ha shilingi milioni 205 zote kutoka mapato ya ndani.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic (wa pili kulia) akitoa maelezo ya utekkelezaji wa agizo la mhe Rais la kujenga madarasa kwa haraka katika shule ya msingi King'ongo.




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.