• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

SUMA JKT CLEANING AND FUMIGATION WATOA VITI MWENDO 10 KWA AJILI YA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

Posted on: March 9th, 2024

Katika kuadhimisha Siku ya Wanawake duniani  tarehe 8 March,2024  wanawake kutoka  Kampuni ya SUMA JKT Cleaning na Fumigation  wamekabidhi viti mwendo 10 vya watu wenye ulemavu wa Viungo ambavyo kati ya hivyo viti vinne ni vya miguu mitatu na Viti sita ni vya miguu miwili

Akikabidhi Viti mwendo hivyo Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya SUMA JKT CLEANING AND FUMIGATION kaptain Rosemary David Katani amesema kuwa lengo ni kujumuika kwa pamoja katika siku ya Leo ya wanawake na  kusaidia watu wenye ulemavu na wao waweze kupata Viti hivi kwaajili ya wao kusaidia katika majukumu yao ya kila siku za kiuchumi na kijamii ambapo kati ya hivyo wamekabidhi VITI 10 kati ya hivyo vya matairi matatu 4 na matairi mawili 6

Akipokea Viti mwendo hivyo Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hashim Komba amewashukuru na kuwapongeza wakina mama hao wa SUMA JKT kwa kuwawezesha walemavu wa viungo kwa kuwapatia Viti mwendo vitakavyosaidia katika majukumu yao ya kila siku 

"Niwapongeze wanawake kwa siku hii ya Leo ambayo inawalenga wanawake wote kusherekea siku yao, SUMA Jkt wameonyesha jinsi gani mwanamke ni mtu mwenye huruma na upendo" alisema hayo Komba

SUMA JKT mmegusa maisha ya watu wenye ulemavu, mmegusa maisha ya watu wenye huitaji niwapongeze sana na mwenyezi Mungu awaongezee mlipotoa.alisema hayo Komba

Nae Afisa Ustawi Manispaa ya Ubungo Zainab Masilamba amewashukuru SUMA JKT kwa kuwawezesha wahitaji waliopo Manispaa ya Ubungo nakuwaomba kuendelea na moyo huo huo wakuja kuwatembelea wanaubungo

Akishukuru mmoja wa wanufaika waliopata Viti mwendo Bi.Rebecca  ameshukuru SUMA JKT Cleaning and Fumigation kwa kuwawezesha kupata Viti hivyo vitakavyotumika kuwasaidia  kwenye shughuli za kiuchumi na shughuli za kila siku














Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.