• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TAASISI KUTOKA KOREA KUSINI YATEMBELEA UBUNGO

Posted on: November 7th, 2023

Taasisi ya Geris ya Korea Kusini leo tarehe 07/11/2023 imeitembelea Shule ya Msingi Tegata A iliyopo Kata ya Goba ndani ya Manispaa ya Ubungo kwa lengo la kujionea maendeleo ya Shule hiyo kitehama kutokana na msaada ilioutoa hapo awali wa vifaa vya TEHAMA pamoja na kusafirisha walimu wa Shule hiyo Nchini Korea Kusini kwa ajili ya kujifunza masuala ya TEHAMA.

Sambamba na lengo hilo ugeni huo umelenga kubadilishana uzoefu baina ya walimu na wanafunzi wa Taasisi hiyo huku michezo mbalimbali ilichezwa na wanafunzi hao ikiwemo kurusha roketi, kuimba na kucheza ngoma za asili kwa wageni hao katika hafla ndogo iliyoandaliwa na Manispaa hiyo ya kupokea wageni hao.

Taasisi hiyo yenye mradi wa KLIC “Korea Learning International Cooperation” inayojishughulisha na ufundishaji wa masuala ya TEHAMA sambamba na kugawa vifaa vya TEHAMA Duniani huku ikisimamiwa na Serikali ya Nchi ya Korea Kusini imeambatana na Gavana wa Jimbo la Guangzhou Nchini humo Ndg. Lee Jeong Seon pamoja na baadhi ya wanafunzi na walimu wa TEHAMA wa Taasisi hiyo.


Kutembelewa huko kumetokana na Msaada wa kupatiwa Vifaa mbalimbali vya TEHAMA ambavyo hapo awali Shule hiyo ilikabidhiwa na taasisi hiyo sambamba na kusafirishwa kwa walimu 6 wa TEHAMA wa Shule hiyo Nchini Korea kwa lengo la kwenda kujifunza masuala ya TEHAMA.


Akiongea katika hafla ndogo iliyofanyika katika Shule hiyo ya kupokea wageni hao Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Denis Nyoni ametoa shukrani kwa Taasisi hiyo kwa kuchagua Manispaa hiyo kwa ajili ya msaadaa huo ambao utachochea ari ya ujifunzaji na ufundishaji wa masuala ya TEHAMA kwa wanafunzi.


“Tukiwa katika suala la ukuaji wa teknolojia vifaa mlivyotupatia kwa kiasi kikubwa vimekuwa ni msaada mkubwa wa kuwezesha wanafunzi kujifunza masuala ya TEHAMA kwa vitendo na kuongeza uelewa kwa wanafunzi hao”


Aidha, Nyoni ametoa wito kwa Taasisi zingine kuendelea kutoa misaada ya namna hiyo katika Shule mbalimbali za Manispaa hiyo ili kuwezesha wanafunzi kuendana na kasi ya teknolojia kwa maslahi yao na Taifa kwa ujumla.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.