• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TABOA UBUNGO WAHIMIZWA KUTOKUWA NA OFISI ZA KUKATIA TIKETI NJE YA KITUO.

Posted on: July 6th, 2022

Mapema Leo tarehe 06/07/2022 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Beatrice Dominic amekutana na viongozi wa wamiliki wa mabasi (TABOA) wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli (Magufuli Bus Terminal) lengo ikiwa ni kuweka mikakati ya pamoja na kudhibiti uwepo wa ofisi za kukatia tiketi nje ya kituo hicho.

Akiongea katika kikao hicho Ndugu Beatrice amewataka TABOA kushirikiana vyema na Manispaa ili kuhakikisha Mabasi yote yanayofanya kazi nje ya Kituo waache kufanya hivyo na badala yake wamiliki wote wa mabasi wanapaswa kuwa na ofisi ndani ya kituo hicho

Beatrice, ameendelea kuelezea kuwa uwepo wa ofisi za kukatisha tiketi nje ya kituo umekuwa ukipelekea Manispaa kupoteza mapato mengi takribani Mil 100 kwa mwezi, lakini pia uhalifu wa kusafirisha madawa ya kulevya umekuwa ukifanyika kwani gari hizo zimekuwa zikifanya safari bila kukaguliwa sababu haziingii ndani ya kituo.

Mbali na hilo Beatrice ameeleza uwepo wa ofisi hizo nje ya kituo cha mabasi umekuwa ukipelekea matatizo mengine mengi ya kihalifu ikiwemo raia kutelekezwa stendi wakiwa na tiketi feki walizopatiwa na ofisi zilizopo nje ya kituo.
 
Aidha, kikao hicho kimeazimia Viongozi wa TABOA wapeleke kwa Meneja wa Kituo hicho orodha ya majina na picha za wafanyakazi wao zikiwemo na  za mawakala wao. Ili Manispaa iwatengenezee vitambulisha maalumu vitakavyo watambulisha ili kusaidia kutatua changamoto zilizopo.
Akiongea Meneja wa Kituo hicho Ndg. Isihaka Waziri amewataka viongozi hao kuacha tabia yakuwapa fedha watu wanawapelekea wateja ambao sio wafanyakazi wao  kitu ambacho kinapelekea kusababisha uingiaji wa watu kiholela ambao wanaweza kuwa wahalifu kituoni humo.

Nae Mwenyekiti wa TABOA Ndg Abdallah Kiongozi ametoa pongezi zake kwa Manispaa na Meneja wa Kituo hicho kwa ushirikiano wanaoupata na kuahidi kuyafanyia kazi yote waliokubaliana kuyatekeleza na wapo tayari kutoa ushirikiano muda wowote pale inapobidi.

#UbungoYetuFahariYetu

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.