• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TAMISEMI YAIJENGEA UWEZO KAMATI YA LISHE MANISPAA YA UBUNGO KWA MAFUNZO JINSI YA KUINUA KIWANGO CHA LISHE

Posted on: March 2nd, 2020

Mafunzo hayo  yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya uliopo Luguruni na kuhudhuriwa na mgeni rasmi ambaye ni Kaimu Das Wilaya ya Ubungo Diana K. Nkarage. Mkufunzi alikuwa ni  Mratibu wa  lishe kitaifa kutoka OR  TAMISEMI Ndg. Mwita Waibe akisaidiwa na Afisa Lishe wa Mkoa wa Dar es salaaam Neema Kweba, Dr.Winfrida Mayilla Senior Program Manager kutoka Shirika la GAIN na Afisa Lishe wa Wilaya ya Ubungo Beatrice Joseph pamoja na  wataalam kutoka Manispaa ya Ubungo.

Lengo la mafunzo likiwa ni kuzijengea uwezo kamati za lishe pamoja na wafanya maamuzi (Wakuu wa Wilaya) kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mkataba wa lishe ngazi za  Kata na Mtaa/vijiji na Kutambulisha nyenzo na kukusanya taarifa za utekelezaji wa viashiria vya mkataba wa lishe ngazi ya Kata na Mtaa/vijiji.

"Tuzingatie lishe katika maisha yetu kwa kuhakikisha tunakula vyakula ambavyo vina virutubisho sahihi(vyakula vyenye lishe bora) na kuepukana na madhara ambayo yanaweza kutokea na kuleta hasara kiuchumi, katika ngazi ya familia mpaka Taifa kwa kukosa kizazi chenye ukuaji mzuri. Pia Udumavu huathiri ukuaji wa mwili hata akili kwa Tanzania tafiti zinaonyesha ina watoto waliodumaa takribani millioni 3 ambayo ni sawa na 31.8%

*Ili kuepukana na janga la watoto wadumavu na kizazi cha watu wenye ukuaji mbovu wa mwili lazima siku 1000 za ukuaji wa mtoto uzingatiwe." Alisema hayo  Mratibu wa Lishe Ndg. Mwita

Pia kuwekeza kwenye Lishe ni jambo muhimu tuige mfano mzuri kutoka nchi za wenzetu kumekuwa na ongezeko kubwa la kizazi chenye ukuaji mzuri wa afya ya akili ambao tumekuwa tukiwategemea katika mambo mbalimbali ili  kupata wafanisi wakubwa, tujielekeze sasa kuinua watoto kwa kuwapa lishe bora  walio katika Wilaya yetu na  kwa kutoa elimu bora kuhusu lishe kwa wazazi. Aliongeza Ndg. mwita

Aidha mwakilishi kutoka Shirika la GAIN  Dr. Winfrida Mayila  ambaye ndiye Senior Program Manager wa Shirika la GAIN  aliomba kamati kuainisha mahitaji yao na GAIN   itachangia  kiasi cha Tsh. Millioni  30 ili  kuisaidia kamati  kuinua swala la lishe katika Wilaya ya Ubungo.

Ikumbukwe kuwa GAIN ni Shirika lisilo la kiserikali linaloshirikiana na Serikali ili kusaidia afua mbalimbali za lishe katika kutekeleza mkataba wa lishe ambao wakuu wa Mikoa wamesaini pamoja na Wilaya zote.

Mwisho Kaimu Das Wilaya ya Ubungo aliwashukuru wawezeshaji kutoka Tamisemi kwa ujio wao na kutoa elimu kuhusu lishe na kuwakaribisha tena Manispaa ya Ubungo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.