• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TANZANIA YETU, IKULU YETU

Posted on: May 21st, 2023

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inakupongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza ndoto hii kubwa kwa Watanzania kufuatia Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino, Dodoma.


Reposted from @samia_suluhu_hassan Uzinduzi rasmi wa Ikulu yetu ni tukio kubwa la historia kwa Taifa letu. Tuungane sote kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufikia hatua hii adimu na adhimu, miaka 50 toka Serikali ilipoweka azimio la kuhamisha Makao Makuu ya Nchi kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma.


Ikulu hii ni kilele katika azma ya Serikali kuhamia Dodoma. Safari ya miaka 50 kufikia siku hii ni ya demokrasia kwani nia ya kuhamia Dodoma ilipitishwa na Halmashauri Kuu ya TANU mwaka 1973, baada ya kura ya maoni katika matawi yake nchi nzima. Safari hii ina mchango wa namna yake kwa kila awamu iliyowahi kuiongoza nchi yetu:


1. Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere


2. Alhaji Ali Hassan Mwinyi


3. Hayati Benjamin William Mkapa


4. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete


5. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli


Ikulu ni ya kila Mtanzania na kupitia sanduku la kura sote tunaamua nani wataingia katika kipindi fulani kukutumikia Watanzania wote. Ujenzi wa Ikulu yetu wenyewe kwa nguvu zetu, fedha zetu na utaalamu wetu ni moja ya shuhuda za uhuru wetu kama nchi.


Mzee wetu Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema, “Maisha ni hadithi”, tuandike hadithi njema za maisha yetu. Julai 25, 2016 Hayati Rais Magufuli aliukumbusha Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu uamuzi wa kuhamia Dodoma na chini ya Awamu yake ujenzi huu ambao tumeukamilisha ulianza rasmi. Hayati Rais Magufuli ameandika hadithi yake.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.