• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TIMU YA UFUATILIAJI NA TATHMINI YA MIRADI MBALIMBALI YAFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: August 21st, 2025

Timu ya Ufuatiliaji na Tathmini ya Miradi ya Maendeleo ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, ikiongozwa na Afisa Mwandamizi wa Ufuatiliaji na Tathmini, Bw. George Maiga,  August 21,2025  imefanya ziara ya kikazi katika miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya manispaa, kwa lengo la kujiridhisha na kasi pamoja na ubora wa utekelezaji wake.

Ziara hiyo ilianza katika vituo vya kutolea huduma za afya, ikiwemo Kituo cha Afya Amani, Kituo cha Afya Mpiji Magohe, pamoja na Zahanati ya Msakuzi. Katika vituo hivyo, timu ilikagua maendeleo ya ujenzi wa vyumba vya upasuaji, wodi za akinamama pamoja na ofisi za watumishi wa afya. 

Kwa mujibu wa taarifa ya mafanikio iliyowasilishwa na wasimamizi wa miradi hiyo, kazi zipo katika hatua za mwisho za ujenzi.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo, Bw. Maiga aliwapongeza wakandarasi kwa kasi ya utekelezaji, huku akisisitiza umuhimu wa kuzingatia viwango vya ubora vinavyotakiwa na serikali. 

Alisema, "Hii ni miradi inayogusa maisha ya watu moja kwa moja, hivyo tunahitaji kuona thamani ya fedha za umma kwa kuhakikisha ujenzi unakamilika kwa ubora wa hali ya juu."

Naye Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Mpiji Magohe, Dkt. Hereswida Rimoy, alisema mradi huo ni wa muhimu mno kwa ustawi wa huduma za afya, hususan kwa akinamama na watoto.

 “Mradi huu utaleta mapinduzi makubwa katika utoaji wa huduma. Tunaishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kutujali sisi wananchi kupitia uwekezaji huu muhimu,” alisema Dkt. Rimoy.

Katika hatua nyingine ya ziara hiyo, timu ilitembelea shule mbalimbali zikiwemo Shule ya Sekondari Luguruni, Shule ya Msingi Idrisa Abdul Wakil, Shule ya Msingi na Sekondari Kulangwa, pamoja na Shule ya Msingi Kibamba. 

Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa, bweni moja la wanafunzi wenye mahitaji maalum, na ukuta wa shule kwa ajili ya usalama wa mazingira ya wanafunzi.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kibamba, Mwl. Juliano Pima, alieleza kuwa kukamilika kwa bweni hilo kutakuwa mkombozi mkubwa kwa wanafunzi wenye ulemavu wanaotoka mbali.





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.