• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TIMU YA UKAGUZI NA UFUATILIAJI WA MIRADI YAINGIA SITE ,YAPONGEZA NA KUAGIZA KASI IONGEZEKE UTEKELEZAJI WA MIRADI

Posted on: July 21st, 2025

Timu ya wataalam ya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi  Manispaa ya Ubungo imefanya ziara ya kutembelea miradi ya elimu, afya na barabara inayotekelezwa kwa kutumia Fedha za mapato ya ndani na mfuko wa Jimbo kwa lengo la kujionea hatua za miradi hiyo  ilipofikia

Timu hiyo imefanya ziara  tarehe 21 julai, 2025 na imetembelea Mradi wa ujenzi wa madarasa 2 katika Shule ya msingi millennium ya tatu iliyopo kata ya Kimara yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 44 na matundu 6 ya vyoo uliogharimu  kiasi cha shilingi milioni 10 na laki nane na kutoa maelekezo mhandisi afike Shuleni hapo kwa ajili ya kufanya tathmini ya vitu vilivyobakia ili ujenzi uendelee katika matundu ya vyoo ambayo yamebaki vitu vichache kukamilika ili vianze kutumika

Wataalam wametembelea Shule ya Sekondari Kimara kuangalia  ujenzi wa chumba cha kompyuta kilichogharimu milioni 8, eneo lilolipwa fidia na fidia ishalipwa kiasi cha shilingi milioni 10, ukarabati wa barabara ya mtaa wa mavurunza eneo la millennium ya tatu shina namba 7 katika kata ya Saranga kiasi cha shilingi 2,000,000.00 na kupongeza utekelezaji uliofanyika kwa kuhakikisha muhusika aliyestahili kulipwa fidia kapata fidia na barabara inatumika

Aidha, wataalam wametembelea Shule ya msingi Msewe kujionea ununuzi wa madawati 150 ikiwa ni Fedha za  mfuko wa Jimbo  na mapato ya ndani madawati 100

Na pia timu imetembelea Shule ya msingi mashujaa, kituo cha afya Makurumla, hospitali ya Wilaya iliyopo Kimara Baruti, pamoja na ukarabati wa madarasa Shule ya msingi Ubungo NHC.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.