• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TUFANYE KAZI IPASAVYO TUHAKIKISHE TUNAZINGATIA MISINGI SAHIHI YA KAZI

Posted on: December 4th, 2019

Hayo yalikua maneno ya  Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi.BEATRICE DOMINIC  alipotembelea mradi wa Ujenzi wa Ofisi ya Manispaa ya Ubungo uliopo Luguluni  unaojengwa na TBA  na  mradi wa Ujenzi wa Hosteli katika shule ya Sekondari Goba.  Silidhishwi  na ufanyaji  kazi wenu katika mradi huu wa ujenzi wa Ofisi ya Manispaa kwani  naona hata ufanyaji kazi wenu  uko nje ya muda na kwa hali hii mradi huu hauta kamilika kwa wakati"*. Alisema hayo Mkurugenzi

Sioni kama kuna jitihada zozote zinafanyika za kutekeleza mradi huu kwa wakati na hata  muda mlio ahidi hauonyeshi matumaini ya mradi huu kukamilika. Alisema hayo Mkurugenzi.  Pia asisitiza   na kuzingatia kwa makini pesa zinazokuwa zinatolewa  kwa ajili ya ujenzi wa miradi ni lazima   kufanyiwa kazi pale tu pesa hizo zinapotolewa kwa ajili ya Ujenzi kwani pesa ya serikali inapotolewa inatakiwa kufanyiwa lengo husika na  kwa wakati na si vinginevyo. si furahishwi na mradi  huu wa ujenzi wa hosteli ya shule  hata kidogo nimekuwa nikiufuatilia toka mwanzo na sioni  kuendelea kwake na jinsi ga ni inaonyesha usimamizi wake sio mzuri kwani dhumuni na  muda ulio pangwa mpaka kufikia leo bado hauonyeshi matumaini.  Tufanye kazi zionekane na sio vinginevyo, sijafurahishwa kabisa na utendaji wa kazi katika mradi huu  na sintaweza kulifumbia macho ntahakikisha nalisimamia hili ipasavyo. hayo yalikuwa maneno ya Mkurugenzi katika ujenzi wa hosteli ya shule ya sekondari Goba.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.