• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TUME YQ MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA YAFIKA UBUNGO

Posted on: December 2nd, 2022


Kuelekea kilele cha maazimisho ya siku ya maadili duniani ambayo kilele chake hufanyika tarehe 10 Disemba Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kanda ya Dar es Salaam imefanya mafunzo kwa viongozi na wataalamu wa Manispaa ya Ubungo lengo ikiwa ni kuendelea kuwakumbusha namna ya kuenenda kwenye utekelezaji wa majukumu yao kwa maslahi ya wananchi.

Katika mafunzo hayo yaliyotolewa na Sekretarieti hiyo kwa kushirikiana na ofisi ya tume ya haki za binadamu na Utawala bora, na TAKUKURU viongozi na wataalamu hao wamefanikiwa kujifunza mada mbalimbali ikiwemo kujua misingi ya maadili kwa viongozi na watumishi wa Umma, namna watumishi wanapaswa kuenenda na kuelezewa miiko ya watumishi wa Umma.

Akiongea katika mafunzo hayo Ndg. Elizabeth Komba Katibu Msaidizi Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma amesema maazimisho hayo yanaenda sambamba na kauli mbiu isemeyo “maadili, haki za binadamu utawala bora na mapambano dhidi ya rushwa ni jukumu letu sote”na yataazimishwa kwa siku 10 kuanzia tarehe 01-10 Disemba, 2022 na siku ya kilele kitaifa yataazimishwa Dodoma.

Aidha, Elizabeth ameendelea kueleza kuwa maazimisho hayo yataazimishwa kwa kufanya vipindi kwenye media mbalimbali, kuongea na viongozi na wataalamu wa Halmashauri kwa ajili ya kutoa elimu ya masuala ya maadili kwani swala la maadili lisipozingatiwa linaweza kupelekea mambo mengi maovu ikiwemo wizi, ukatili wa kijinsia na utekelezaji mbaya wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Elizabeth ametoa wito kwa viongozi na wataalamu hao juu ya kuzingatia misingi mbalimbali ya maadili ikiwemo uaminifu, kuepuka kupokea kuomba na kutoa zawadi kinyume na utaratibu, kutopendelea, kujizuia na tamaa na uzingatiaji wa sheria, kanuni na taratibu ili kuwa na jamii salama.

“Maadili yanawezeshwa kwa kuhamasishwa kwa matendo kwa  kuanzia kwa mtu mmoja na jamii kwa ujumla”

Nae Ndg. Aristarico Majura Afisa uchunguzi mwandamizi Tume ya haki za binadamu na utawala bora amesema kazi kuu ya tume hiyo ni kuhakikisha haki inatendeka.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.