• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TUNATAMBUA UWEPO WA NMB KATIKA KULETEA MAENDELEO WANANCHI

Posted on: March 16th, 2020

Hayo yalikuwa maneno ya Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mhe. Kisare Makori  wakati akipokea madawati kutoka kwa  wahisani wa NMB katika Shule ya Sekondari Kibamba.

Benki ya NMB imetoa  jumla ya madawati 150. 50 kwa Shule ya Sekondari Kibamba, 50 kwa Shule ya Sekondari Kinzudi na 50 kwa Shule ya Msingi Kibamba. Katika shughuli hiyo Mkuu wa Wilaya alisema kuwa serikali ya awamu ya tano inafanya makusudi kuinua sekta ya Elimu chini ya Rais wa awamu ya tano  Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli  kwa kutoa elimu bure.   Mkuu wa Wilaya pia alimsifu Mhe. Rais kwa  mamlaka aliyo nayo kwa kusimamisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa sababu ya ugonjwa unaosambaa wa Corona.

Nae Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo ambaye pia ndio Mganga Mkuu wa Manispaa alitoa uelewa juu ya kirusi cha Korona. Aliwaomba wanafunzi, walimu, wazazi na wajumbe kutokushikana mikono lakini pia kufuata masharti ambayo yeye kama Mganga Mkuu ameyatoa. "Niombe kila sehemu kuweka maji ya kutiririka maeneo ya kuingia na  kutoka ili tuisaidie serikali kuepukana na janga hili"  alisema Mganga Mkuu.

Wakati akifunga Meneja wa NMB kanda ya Pwani Ndg. Badru Iddy alisema wao kama NMB wako bega kwa bega na Mhe. Rais ili kufikia Uchumi wa Kati. Vile vile kwa kuwa serikali na wananchi ni wanahisa wa benki hiyo hawana budi kurudisha sehemu ya Faisal wanayoipata kwa wananchi.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.