• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TUPO VIZURI, TUONGEZE KASI

Posted on: December 3rd, 2021

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mheshimiwa Jaffary Juma Nyaigesha amewapongeza Wakuu wa shule 21 na wasimamizi wote wa  ujenzi wa vyumba vya madarasa 151 kwa usimamizi mzuri wa Miradi hiyo ambapo mpaka sasa ujenzi upo hatua ya kuezeka na umaliziaji na kueleza kuwa kwa kasi hiyo miradi hiyo itakamilika kwa wakati.

Mstahiki Meya ameyasema hayo kwenye kikao cha Tathimini ya ujenzi wa madarasa hayo kilichofanyika leo  desemba 03, 2021 kikilenga kufanya tathimini ya ujenzi wa madarasa hayo na kueleza kuwa kazi ina kwenda vizuri, na kuwasisitiza kuzingatia taratibu na mwongozo wa force Account katika utekelezaji wa miradi hiyo.

“Tupo vizuri , tuongeze kasi, tutamaliza kwa wakati nawasisitiza kutumia fedha za miradi hii vizuri sambamba na kutunza vifaa vitakavyobaki” alisisitiza Nyaigesha

Aidha, kipekee, Mstahiki Meya amewapongeza Wakuu wa shule na walezi wa kata wanaojenga Madarasa katika shule za Sekondari za Kimara, Ukombozi, Makabe na Malambamawili kwa kufanikiwa kujenga madarasa pamoja na changamoto ya kijiographia kuwa ngumu.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Beatrice Dominic amewasisitiza Wakuu wa shule na walezi wao kuzingatia utunzaji mzuri wa taarifa za mradi kama sheria taratibu na mwongozo ya Force Akounti unavyoelekeza ikiwemo mihutasri ya vikao vya matumizi yote.

Wakitoa taarifa za utekelezaji wa ujenzi wa madarasa hayo Wakuu wa shule na walezi wa kata wamesema wataendelea kusimamia miradi  kwa nguvu zote kwa kuzingatia miongozo na  sharia na kukabidhi  madarasa hayo kati ya tarehe 7 Hadi 10 ya mwezi desemba.

 

 

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.