• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

TUWEKEZE KWENYE UPENDO KUTOKOMEZA UKATILI

Posted on: March 20th, 2024

"Mpaka sasa Manispaa ya ubungo tumetoa elimu ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia katika shule za msingi 20, na shule za sekondari 19. Yote hii ni jitihada ya kuhamasisha jamii kuwekeza katika upendo na kuendelea kutoa elimu kwa jamii nzima ili tutokomeze tatizo hili ili kutengeneza jamii bora na salama"

Hayo yamesemwa na mratibu wa dawati la jinsia Manispaa ya Ubungo Ndg. Hilda Malosha alipokua akifungua kikao kazi cha masuala ya ukatili wa kijinsia mapema leo Machi 20, 2024 katika ukumbi wa Manispaa ya Ubungo ambapo kikao hicho kimehudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwemo madiwani wanawake wa Manispaa ya Ubungo, dawati la jinsia kutoka jeshi la polisi, maafisa maendeleo, maafisa ustawi wa jamii pamoja na asasi za kiraia

Kikao kazi hicho kimekuja mahususi kwaajili ya kushirikiana kwa pamoja kujadili suala hilo la ukatili wa kijinsia pamoja na kuweka mikakati zaidi ya ni njia zipi za kutumika ili kukabiliana na vitendo vyote vya ukatili wa kijinsia katika jamii zetu ili kutengeneza jamii bora na taifa imara

Awali akichangia mada Joyce Mapunda kutoka dawati la jinsia kutoka mkoa wa kipolisi Kimara, ameeleza namna ambavyo tatizo hilo linaendelea kukua kwa kasi katika jamii zetu ambapo vitendo vya watoto wa kike na wanawake kufanyiwa vitendo vya kunyanyaswa ikiwemo kupigwa, au kufanyiwa vitendo vya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na tatizo la watoto wa kiume kulawitiwa na watu mbalimbali ikiwemo watu wao wa karibu kama wazazi na walezi

Nae diwani wa viti maalumu Manispaa ya Ubungo Mhe. Mary Mwamfupe amesema kuwa suala la ukatili katika jamii zetu linakua kwa kasi sana na ufumbuzi wake bado ni kitendawili. Ametoa rai kwa wadau, maafisa maendeleo na maafisa ustawi kushuka chini kwenye jamii kupitia vikundi vya vikoba na vikundi vingine kupeleka elimu juu ya kuliokoa taifa dhidi ya vitendo hivyo


Akiwakilisha asasi za kiraia Bi. Joyce Augustino kutoka asasi ya Women and Youth Initiative (WYI) ameeleza kuwa katika jamii tatizo la ukatili wa kijinsia linaathiri zaidi wanawake hivyo amewaomba wadau kuunganisha nguvu kukabiliana na tatizo hilo pamoja na kuhamasisha wananchi kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia unaotokea katika jamii zao kuanzia ngazi ya familia





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA YAZINDULIWA

    August 04, 2025
  • USAFI WA MWISHO WA MWEZI WAFANYIKA MANZESE

    July 26, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.