• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO IMEWAJENGEA UWEZO WATENDAJI WA KATA NA MITAA KUHUSU MFUMO WA ANUANI ZA MAKAZI

Posted on: February 20th, 2022


Manispaa ya Ubungo leo tarehe 20.2.2022 imefanya kikao kilichohusisha watendaji wa kata na mitaa ili kuwajengea uwezo juu ya mfumo wa anuani za makazi lengo ikiwa ni kuwapa uelewa wa pamoja na kuonesha mwelekeo na matarajio ya  serikali kuhusu anuani za makazi.


Akiongea Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Beatrice Dominic wakati akifungua mafunzo hayo amesema zoezi la anuani za makazi ni zoezi muhimu na linapaswa kufanyika kwa umakini na amewataka viongozi hao kukamilisha zoezi kwa muda uliokusudiwa ambapo ameeleza kwa Ubungo zoezi hilo litafanyika kwa siku 45 tu.


Aidha Beatrice amewataka watendaji wa kata na mitaa kwenda kusimamia zoezi hilo kwa ufanisi na kutoa ushirikiano ipaswavyo hili kukanilisha zoezi hili na wakawe makini kwa maana ya kuepusha migogoro ya mipaka baina ya mtaa  na mtaa.


Akiongea mwezeshaji ndugu Ally Mohamed amesema anwani za makazi zinajumuisha namba ya anwani ya jengo au kiwanja, jina la barabara au mtaa na postikodi, ambapo ameeleza utoaji wa majina ya barabara unapaswa kuzingatia vigezo vifuatavyo; historia ya eneo, jina la mtu kwa maana ya kumuenzi, matamshi yenye maadili, kuzingatia sheria mbalilmbali na kutokuwa na ukabila, udini na usiasa.


Nae mratibu wa zoezi hilo Manispaa ya Ubungo John Ilomo ameeleza kuwa kwa mujibu wa mwongozo wa namba za anwani uanza kuwekwa kutokea mwanzo wa barabara hadi mwisho wa barabara kwa kuzingatia idadi ya watu kutoka kwenye wakazi wengi kwenda kwenye wakazi wachache ambapo upande wa kulia ni namba shufwa na kushoto namba witiri lengo ni kurahisi utambuzi.


Aidha wawezeshaji hao wameeleza umuhimu wa anuani za makazi ni; kuwezesha kufanyika kwa biashara mtandao, kuimarisha ulinzi na usalama, kuwezesha ukusanyaji wa mapato, kurahisisha shughuli za tafiti na upatikanaji wa taarifa, kuongeza ajira na kuboresha upataji, utoaji na upatikanaji wa huduma na bidhaa hadi mahali stahiki.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.