• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO, KISARAWE WAKUTANA KING’AZI KUTATUA MGOGORO

Posted on: September 9th, 2023

Kufuatia mgogoro wa mpaka katika Mtaa wa King’azi A kata ya Kwembe, Wakuu wa Wilaya za Ubungo na Kisarawe wameunda timu maalumu inayojumuisha wataalam na wananchi wa pande zote mbili kwa ajili ya kupata uelewa wa pamoja kuhusu mipaka ya eneo hilo ambalo limekuwa na migogoro mingi ya ardhi kwa kisingizio cha mipaka ya eneo hilo.

Uundaji wa timu hiyo ni moja ya maazimio yaliyotolewa na wakuu hao wa wilaya septemba 9, 2023 kwenye mkutano wa wananchi wa mtaa huo ukilenga kusikiliza maoni ya wananchi juu ya mgogoro wa mipaka uliopo katika mtaa huo ambapo wanachi hawaelewi kama wanahudumiwa na ipi kati ya Ubungo na Kisarawe ili kuondoa mikanganyiko iliyopo sasa.

Akiongea wakati wa mkutano huo, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hashimu Abdallah Komba amewaeleza wananchi kuwa timu hiyo itajumuisha wataalamu na wananchi 8 kutoka pande zote mbili lengo ikiwa ni kujiridhisha na kupata uelewa wa pamoja kuhusu mipaka ya mtaa huo kwa mujibu wa tangazo la Serikali (GN) ya awali ya mwaka 1974 na marekebisho GN ya mwaka 2019 ili kuondoa utata uliopo sasa lakini pia wananchi kujua wanahudumia na mamlaka ya utawala wa Wilaya ipi.

“Hii timu itafanya kazi kwa muda wa wiki tatu na baada ya hapo utaitishwa mkutano wa wananchi kwa ajili ya kupata mrejesho na kutoa maamuzi kuhusu mipaka ya eneo na hivyo tunaamini mgogoro huu tutakuwa tumeumaliza na wananchi mtaendelea kufurahia maisha kwa kufanya shughuli zenu za maendeleo kwa uhuru na Amani” alieleza Mhe. Komba.

Pamoja na kuunda timu hiyo maalumu, Mhe. Komba amewataka wananchi washikamane na kushirikiana  kwani wao ni wamoja badala ya kutenganishwa na migogoro ya mipaka kwani inaweza kubadilishwa wakati wowote kulingana na ongezeko la watu, hivyo tusigombane kwa ushawishi wa watu wachache wenye maslahi yao binafsi

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Fatma Almasi Nyangasa aliwaeleza wananchi kuwa katika kipindi hiki cha Mtaa wa king’azi wenye mgogoro utahudumiwa na wenyeviti wawili wa king’azi na Kisopwa mpaka pale mgogoro utakapotatuliwa, aidha amewaonya wenyeviti hao kutojihusisha na uuzaji wa ardhi kwani hicho ndio chanzo kikubwa cha mgogoro huo uliopo sasa.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.