• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YA PILI KIMKOA MBIO ZA MWENGE 2023

Posted on: January 24th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mhe. Hashimu Abdallah Komba amewashukuru Viongozi, Taasisi, NGOs Wananchi na  Wadau wote kwa ushirikiano walionyesha wakati wa mbio za  Mwenge wa uhuru 2023 ambapo wilaya hiyo imefanikiwa kushika nafasi ya pili kimkoa, ya 8 kikanda na nafasi ya 26 kitaifa. 

Mhe. Komba Ametangaza matokeo hayo leo Januari 17, 2024 katika mkutano wa tathmini ya mbio za Mwenge huo kwa mwaka 2023 ambapo wadau wote wameshiriki na ameeleza kuwa mafanikio hayo ni matokeo ya ushirikiano na uwajibikaji wa pamoja hivyo "nawapongeza na kuwashukuru sana"

Kutokana na matokeo hayo kuwa mazuri, Mhe. Komba ametoa barua na vyeti vya pongezi kwa waliofanikisha jukumu hilo la muhimu la kitaifa ikiwa ni njia ya kutambua mchango wao.

Aidha Mhe. Komba amewaeleza wajumbe kuwa mafanikio hayo ni chachu ya maandalizi mazuri ya mbio za mwenge wa uhuru 2024 ili kuwa mshindi wa kwanza au kutetea nafasi yake ya pili lakini sio kushuka.

DC Komba amesema "Mafanikio haya yana gharama kwa maana ya kuyalinda au kupanda zaidi, hivyo tujipange mapema kwa mwenge wa mwaka huu, tuibue miradi mapema ili nyaraka na vitu muhimu kulingana na vigezo vya mwenge viwekwe sawa" 

Kwa mwaka 2023 Wilaya ya Ubungo ilipokea mwenge wa uhuru Mei 26, 2023 ambapo ulikimbizwa kwa jumla ya kilomita 108.5, miradi 7 yenye thamani ya shilingi Bilioni 7.6 ilikaguliwa, kuwekewa mawe ya msingi na kutembelewa. Kwa mwaka 2024 Mwenge unatarajiwa kupokelewa mwezi mei baada ya kuwashwa rasmi katika mkoa wa kilimanjaro  mwezi aprili mwaka huu


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.