• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Posted on: April 22nd, 2024

Tukielekea katika maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26/4/2024 Ubungo imefanya kongamano la kuliombea taifa katika ukumbi wa Noble hall uliopo Kimara tarehe 22 April,2024

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu isemayo, "Miaka 60 ya Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania,Tumeshikamana na  Tumeimarika, kwa maendeleo ya Taifa letu.

Akifungua kongamano hilo Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ambaye pia ni Katibu Tawala Wilaya hiyo Hassan Mkwawa amesema kuwa, vijana wanajukumu la kuenzi Muungano kwa kuhakikisha wanafata yote ambavyo wazee wetu waliyafanya

Aliendelea kueleza kuwa,toka waasisi wetu walivyosimamia Muungano huu ambao taifa linaenda kusherekea siku hiyo ifikapo tarehe 26/4/2024 ambayo ni siku muhimu ni jukumu la Kila mtanzania kuulinda na kuuenzi Muungano.

Aidha, akitoa historia fupi toka Muungano ulivyofanyika na mpaka Sasa ambapo taifa linaenzi Muungano huo  luteni kanali mstaafu Ali Shamte amesema kuwa, watanzania tunapaswa kujivunia Muungano wetu na kuulinda na tunapaswa kushikana kwa pamoja kudumisha Muungano huu

Wazee waliokuwepo kipindi Cha muungano  wanaelewa faida zake na moja nikuleta umoja,mshikamano na pia ulinzi.alisema Shamte

Nae, kanali mstaafu Massanja Sunday ambaye ni msemaji Taasisi ya kizalendo Tanzania (TPO) amesema kuwa, Muungano unapaswa kuendelea kulindwa, tunapaswa kujivunia Muungano huu ambao sasaivi watu wote tunaweza kukutana na kukaa pamoja na kila mmoja akawa na amani

Wazanzibar wanakaa bara na sisi tunaenda zanzibar na kila mmoja ana amani katika eneo la mwenzie, amani imetawala baina yetu

"Asitokee mtu akatamani kuuvunja Muungano wetu" amesisitiza

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.