• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA ELIMU, PONGEZI KWA WANAFUNZI NA WALIMU WALIOFANYA VIZURI

Posted on: March 27th, 2024

 Tarehe 27 March,2024 Manispaa ya Ubungo kupitia Idara ya elimu Sekondari imeadhimisha siku ya elimu kwa kuwapa tuzo za pongezi kwa walimu na wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya kidato cha pili na cha nne iliyofanyika mwezi novemba, 2023.

Akifungua hafla hiyo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Hassan Bomboko amepongeza wadau walioshiriki katika uandaaji wa siku hiyo muhimu kwa kutambua mchango wa elimu kwa Wilaya ya Ubungo ambao ni Vodacom na Crdb

Bomboko aliendelea na kusema kuwa, katika kuhakikisha ufaulu unaongezeka ni lazima ntakaa kikao na walimu wakuu wa Shule zote  lengo likiwa ni kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi unaongezeka kwa Wilaya ya Ubungo.

"Ni lazima ufaulu uongezeke na hii ni moja ya Kipaumbele Changu" amesisitiza Bomboko

Aidha, Kaimu Mkurugenzi Ndg.Vosta Mgina ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Elimu Sekondari Manispaa ya Ubungo amesema kuwa katika kuhakikisha jitihada zinafanyika kukuza swala la elimu kwa Manispaa ya Ubungo imewekwa mikakati na moja wapo ni kuwapa motisha wanafunzi wanaofanya vizuri  pamoja na walimu 

Mgina aliendelea kwa kueleza kuwa ,wadau walioshiriki Leo ni wadau ambao wamekuwa  wakitumiwa sana hasa katika mabonanza mbalimbali na Halmashauri ina ahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wadau hao.

Pia Mgina amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kujenga Shule nyingi ambazo zinaendelea kutatua changamoto ya uhaba wa Shule kwa Wilaya ya Ubungo na kwa Sasa Ubungo inajivunia Shule kubwa Maalumu ya  wasichana kwa Mkoa wa Dar es salaam iliyopo Kwembe katika Mtaa wa Njeteni.

"Tunaendelea kuboresha Mazingira mazuri ya maslahi ya walimu na tuna ahidi kusimamia jambo hili kwa ufanisi mkubwa" alisema hayo Mgina 

Akisoma taarifa ya ufaulu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa mwaka 2023 Afisa elimu taaluma Manispaa ya Ubungo Exaveria Mlowe amesema kuwa kwa kidato Cha pili kwa mwaka 2023  jumla ya wanafunzi 9935 kati ya wanafunzi 11,022 kwenye matokeo ya upimaji wamepata ujuzi wa maarifa kuendelea na kidato Cha tatu ambapo wasichana ni 5049 na wavulana ni 4886.






































Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.