• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA DUNIAN

Posted on: September 16th, 2023

Manispaa ya Ubungo tarehe 16 Septemba, 2023 imeadhimisha siku ya usafi duniani kwa kufanya usafi wa mazingira ya soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi

Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Tuungane pamoja, kujifunza, kupanga na kuhimiza uimarishaji na udhibiti wa taka” na usafi huo umefanywa na wadau mbalimbali ikiwemo Green awereness club, Suma JKT, wananchi ambao ni wajasiriamali wa soko hilo pamoja na viongozi mbalimbali.

Akiongea wakati wa usafi huo Mhe. Juma Jaffery Nyaigesha ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo imeendelea kuhakikisha maeneo yote yanakuwa safi na katika kuhakikisha hili linawezekana imeweka mikakati madhubuti ya utunzaji wa mazingira ikiwemo na Kampeni ya usafi wa mazingira ijulikanayo kama “kataa uchafu; safisha pendezesha Ubungo”

Mhe. Nyaigesha ametoa rai kwa wajasiriamali wa soko hilo sambamba na wananchi wote wa Manispaa hiyo kuhakikisha maeneo yao yanakuwa safi muda wote na kuendelea kutunza miundombinu ya soko hilo ambayo inaendelea kuboreshwa na Manispaa hiyo ili kuwezesha mazingira bora ya kufanya biashara.

Kwa upande wake Meneja wa soko hilo Samuel Lugala ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo imetoa kiasi cha shilingi milioni 600 kwa ajili ya maboresho ya soko na amewataka wajasiriamali wa sokoni hapo kuendelea kushirikiana vyema na Manispaa ili kutunza miundombinu hiyo na mazingira yake huku elimu ya utunzaji wa mazingira ikiendelea kutolewa.

Nae Kelvin Marwa Mwenyekiti wa klabu ya Green awereness amesema klabu hiyo inajishughulisha na utoaji wa elimu ya utunzaji wa mazingira, matumizi ya nishati mbadala na upandaji wa miti kwenye Shule mbalimbali za msingi za sekondari pamoja na vyuoni.

Marwa ameendelea kueleza kuwa sambamba na kutembelea Shule na Vyuo mbalimbali bado klabu hiyo imekuwa ikishirikiana na jamii kwa kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali, kupanda miti na kuielekeza jamii kutumia uchafu wa mabaki ya chakula kutengeneza mbolea pamoja na kutumia maboksi kutengenezea mkaa mbadala.

wananchi waliojitokeza katika zoezi la usafi wakifanya usafi katika soko la Mabibo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.