• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI KIWILAYA

Posted on: October 5th, 2023

Manispaa ya Ubungo yaadhimisha siku ya Wazee Duniani Kiwilaya  tarehe 5 october, 2023 na Maadhimisho hayo yameenda sambamba na kauli mbiu ya UTHABITI WA WAZEE KWENYE DUNIA YENYE MABADILIKO

Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Manispaa ya Ubungo mgeni rasmi alikuwa Katibu Tawala Wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Mkwawa na alipongeza juhudi za Manispaa ya Ubungo katika kuhakikisha misamaha ya matibabu ya wazee, kuratibu vikao vya wazee katika ngazi ya kata, mtaa na wilaya

Na pia Kuwezesha wazee kupata vitambulisho vya msamaha wa matibabu, kuwaunganisha wazee wanaopotezana na familia zao, kuwapatia hifadhi kwenye makao ya wazee waliopotezana na familia zao na pia kuwawezesha wazee kushiriki katika maadhimisho ya siku ya wazee kitaifa 

 Aliendelea kwa kuwapongeza maafisa ustawi wote kwa kuendelea kutoa huduma kwa wazee na kuwezesha wazee kwa kuwapa vipaumbele

“Tuendelee kuwahuduma wazee hawa kwa upendo na ukarimu na kuwavumilia wanapohitaji huduma” alisisitiza Mkwawa

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa Idara ya Afya, ustawi wa jamii na Lishe Afisa Ustawi Manispaa ya Ubungo Zainabu Masilamba alisema kuwa Manispaa ya Ubungo ina jumla ya wazee 18,359 kati yao wanawake ni 9,675, wanaume 8,684 na wamefanikiwa kuunda mabaraza ya wazee 105 katika kata 14 na mitaa 90


Aliendelea kusema kuwa, Idara imeendelea kutoa huduma kwa wazee kwa weledi ili kutatua migogoro na kupinga ukatili dhidi ya wazee.

Aidha, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Dkt.Tulitweni Mwinuka aliwashukuru wazee kwa ujio wao na pia kuwaahidi manispaa itaendelea kuwahakikisha inawatimizia mahitaji yao na kuwa karibu nao wanapokuwa na changamoto

Nae, Katibu wa wazee Wilaya ya ubungo Hafsa Ismail amemshukuru mgeni rasmi kwa niaba ya wazee wote  kwa ujio wake na kumshukuru kwa  kadi za msamaha wa matibabu walizopewa na kumomba waendelee kuwazingatia kupata mahitaji yao kwa wakati

Mratibu wa Bima ya ICHF Manispaa ya Ubungo Letricia Meena alihamasisha wazee na familia kuendelea kukata bima hiyo ambayo Tsh 150,000 ni kwa kaya (baba, mama na watoto 4) na 40,000 kwa mtu mmoja


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.