• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Posted on: November 12th, 2021

Manispaa ya Ubungo yaadhimisha  wiki ya magonjwa yasiyoambukiza  tarehe 12, novemba, 2021 kwa kufanya  mazoezi ya kutembea  na kutoa huduma ya kupima bure kwa  wananchi magonjwa yasiyoambukiza ambayo ni presha, moyo, saratani, macho n.k pamoja na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa kuzingatia lishe bora, na kutoa huduma ya chanjo ya UVIKO 19

Maadhimisho hayo yamekwenda Sambamba na kauli mbiu ya BADILI MTINDO WA MAISHA, BORESHA AFYA yaliyoanzia kwa kutembea kutoka Kituo Cha Afya Cha Kimara Hadi Hospitali ya Wilaya iliyopo Kimara Baruti

Akifungua hafla hiyo Katibu tawala Wilaya ya Ubungo James Mkumbo amewasihi wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo kwa kufanya mazoezi kwaajili ya kuimarisha  Afya na kuunga mkono jitihada za  serikali kwa kupima magonjwa yasiyo ambukiza bure

 "Mzingatie ulaji wa vyakula vyenye Lishe bora ili kuimarisha Afya zetu "

Aidha  Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic  aliwaamasisha wananchi kufanya mazoezi ikiwa ni njia moja wapo ya kuboresha afya na pia  kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali yasiyoambukiza ambavyo vipimo vinatolewa  bure katika eneo hilo

Utoaji wa huduma ya upimaji wa magonjwa yasiyo ambukiza litahitimishwa kesho tarehe 13.11.2021,wananchi wote mnaombwa kujitokeza kwa wingi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.