• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

Posted on: August 5th, 2025

Ikiwa ni wiki ya maadhimisho ya unyonyeshaji maziwa ya mama duniani iliyoanza tarehe 1 agosti, 2025 hadi tarehe 7 agosti, 2025  inayoenda sambamba na kauli mbiu isemayo "Thamini unyonyeshaji, weka mazingira wezeshi kwa mama na mtoto" Ubungo imefanya maadhimisho hayo leo tarehe 5 agosti, 2025 katika zahanati ya Goba ambapo wakina mama wanaonyonyesha na wajawazito  wameaswa kuzingatia umuhimu wa kunyonyesha watoto kwani maziwa ya mama yana kinga muhimu  ya kumkinga mtoto dhidi ya magonjwa.

Akifungua maadhimisho hayo, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt. Arstedius Raphael amesema kuwa , katika siku hii muhimu ya  wakina Mama wanaonyonyesha inapaswa kuhakikisha wanafata maelekezo yote yanayotolewa na wataalam yanayotaka kuzingatia masaa yasiyopungua 8 hadi 12 ambayo mtoto anatakiwa kunyonyweshwa kwa siku ili kumfanya mtoto akue akiwa na afya na kinga dhidi ya magonjwa

Dkt Raphael amesema kuwa, Mama anaponyonyesha pia  anajikinga na magonjwa mengi ikiwemo kansa ya maziwa n.k na pia umuhimu wa mama kunyonyesha ni kumkuza mtoto awe na afya njema pamoja na kumwezesha kukua vizuri kiakili.

Dkt. Raphael ametoa rai kwa familia kuzingatia malezi sahihi ya kuwasaidia wakina mamaa wanaonyonyesha na wajawazito  kwa kuwapa lishe nzuri ambayo itasaidia kuepukana na changamoto ya upungufu wa dawa na pia kwa mama anayenyonyesha kupata  maziwa mengi  na kumfanya awe na nguvu ya kunyonyesha

Aidha, Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile amesema kuwa , utamaduni huu wa kutoa elimu kuhusu unyonyeshaji na elimu ya lishe kwa wa mama wanaonyonyesha imekuwa ikitolewa mara kwa mara na wataalam wa masuala ya lishe vituoni na wanatembelea ili kutoa elimu na kwa wajawazito

Na pia katika uzinduzi huo, wawezeshaji mbalimbali walitoa elimu kuhusu masuala ya ukatili wa kijinsia , elimu ya kupata bima inayosaidia kupata matibabu kwa urahisi bila ya gharama kubwa ICHF , elimu ya masuala ya lishe n.k

Sambamba maadhimisho hayo, yamefana kwa kuwafundisha wakina mama namna ya kutengeneza juisi inayowasaidia kuongeza damu na kuimarisha afya ya mama mjamazito kwa kumpa kinga mtoto akiwa tumboni.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.