• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAANZA OPERESHENI YA KUTHIBITI MBWA WANAOZURURA MTAANI KIHOLELA.

Posted on: April 16th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo April 16, 2025 imeanza rasmi operesheni ya siku tano ya ukamataji na uuaji wa mbwa wanao zurura mtaani wasiokuwa na makazi maalumu ambao wamekuwa wakisababisha vifo, majeraha na uharibifu wa mali kwa wananchi.

Zoezi hilo linafanyika Katika maeneo mbalimbali ya Kata za Manispaa ya Ubungo kwa lengo la kupunguza idadi ya mbwa wanao zagaa mtaani na kusababisha kero kwa jamii lakini pia kutokomeza maambukizi ya kichaa cha mbwa kwa binadamu.

Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Bw. Archie Mntambo ameeleza kuwa zoezi hili ni muhimu kwani malalamiko yamekuwa mengi kutoka kwa Wananchi kuhusu madhara yatokanayo na mbwa hawa hasa majira ya Usiku, kukosa mahali rasmi pa kuishi, na kukosa huduma muhimu kama vile chanjo za mara kwa mara.

Amesema oparesheni hii imeanzishwa ili kupunguza athari zinazoweza kutokea pale mbwa anapo mng'ata  binadamu lakini pia kudhibiti kuzaliana kwa mbwa hivyo kupelekea mbwa wazururaji kuongezeka.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo George Katua amesema ‘kwa muda mrefu  kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi kuwa mbwa wamekuwa wakiwasumbua hasa nyakati za asubuhi na jioni na kusababisha wanafunzi kusumbuliwa hivyo kupelekea kuwa kero kubwa katika jamii hususani maeneo yenye idadi ya wakazi wengi.

"Ni vyema idadi ya Mbwa hawa ikapunguzwa kwa ajili ya usalama wa Wananchi na mali zao"~ Amesema Katua.

Aidha amewataka wale wote wanaofuga Mbwa kuhakikisha mifugo yao inafungiwa ndani ya mabanda lakini pia wazingatie ratiba ya chanjo ambazo zimekuwa zikitolewa mara  kwa mara kwenye kila mtaa ili kuzuia athari zinazoweza kujitokeza.

Baadhi ya Wananchi  walioshuhudia oparesheni hiyo wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya sita kwa kuliona hilo wakisema inasaidia kupunguza madhara yaliyokuwa yanajitokeza kutokana na Mbwa hao.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.