• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAFANYA MAFUNZO KWA VIKUNDI BAADA YA KUPATA MKOPO.

Posted on: March 5th, 2025

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeandaa Mafunzo elekezi yaliyofanyika  Marchi 5, 2025. Ikiwa na lengo la kuvikumbusha vikundi namna bora ya kusimamia biashara zao sambamba na hilo kufanya majeresho kwa wakati.

Vikundi vya wanawake ambavyo vimekidhi vigezo vya kupatiwa mikopo itokanayo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya manispaa ya Ubungo, vimepatiwa mafunzo elekezi ya siku moja ya namna bora ya kuendesha miradi yao ikiwemo utunzaji wa fedha, nyaraka na kufanya marejesho kwa wakati. 

Katika upembuzi wa maombi hayo jumla ya vikundi 90 vikiwemo vya wanawake 59, vijana 30, na kikundi 1 cha watu wenye ulemavu vimekidhi vigezo kati ya vikundi 209 ambavyo viliomba mkopo huo ambavyo vitapewa jumla ya sh.2,041,123,500/=

Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi. Albina Mtumbuka amesema kuwa Mikopo hiyo isiyo na riba inatolewa kwa mujibu wa sheria ambapo wanawake (4%), vijana (4%) na watu wenye ulemavu (2%) inakusudia kuwakwamua makundi hayo  ambayo hayana ajira rasmi kwa kuimarisha shughuli  za kiuchumi na kuboresha maisha yao kwa ujumla. Mafunzo hayo yawasaidie kutekeleza vyema Miradi yenu, ili muweze kufanya marejesho vizuri, na hivyo kuwezesha vikundi vingine kukopeshwa. 

‘Serikali ya Awamu sita lengo lake kubwa ni kuwainua Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemevu kiuchumi, Hivyo ni vyema vikundi vikafanya majeresho kwa wakati kwani fedha hizo ndizo zitakazo saidia kukopesha vikundi vingine.’

Aidha Afisa kutoka Takukuru Bi. Magdalena Sengasenga amewakuwakumbusha kufanya majeresho kwa wakati kwani mfumo wa sasa wa ufuatiliaji mikopo hii umeongezwa wigo na umekuwa wa wazi hivyo kila kikundi kiwajibike kurejesha fedha hizo kwa wakati.

"Awamu hii mpya ya mikopo imeboreshwa kwa maana ya usimamizi na ufuatiliaji, sitegemei kikundi kushindwa kurejesha kwasababu mmefanyiwa ukaguzi wa kina kuhusu miradi yenu" kutokufanya ivo ni kuvunja sheria na sisi kama Takukuru tumepewa dhamana ya kufuatilia mchakato huo hatua kwa hatua na kuhakikisha vikundi vinavyostahili vinufaike na mikopo hiyo na vinafanya marejesho kwa wakati. 


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.