• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAKABIDHIWA MRADI ULIOFADHILIWA NA KANISA LA YESU KRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO

Posted on: July 17th, 2024

Kanisa la Yesu kristo la  watakatifu wa siku za mwisho mapema  tarehe 17 julai, 2024 wameikabidhi Manispaa ya Ubungo mradi ambao walifadhili  ujenzi wa ghorofa ya pili katika jengo la wagonjwa wa nje (OPD) pamoja na njia ya  kutembelea wagonjwa kutoka ghorofa ya kwanza kwenda ghorofa ya pili (Ramp) katika Kituo Cha Afya Kimara.

Gharama ya ujenzi wa ghorofa ya pili umegharimu kiasi Cha shilingi milioni  480,000,000/= na ujenzi wa Ramp  umegharimu kiasi Cha shilingi  115,000,000/=

Akipokea mradi huo mwakilishi wa Mganga Mkuu Dkt. Felista Kimolo amewashukuru wafadhili hao kwa kumalizia mradi huo ambao wananchi wanaenda kuanza kuutumia na kunufaika nao.

Akisoma taarifa ya mradi huo Rais wa kanisa la watakatifu wa siku za mwisho Ndg. Juventinous Mwesiga Rubona amesema kuwa lengo la kufadhili mradi huo ni kusaidia upatikanaji wa huduma kwa jamii na hasa katika Kituo hicho ambacho kina hudumia wananchi wengi

Aliendelea kusema kuwa, Kanisa linafanya haya likiwa na malengo makubwa hasa kusaidia watanzania wote na hata wanaubungo

Aidha, mfawidhi wa Kituo hicho Dkt. Malamla Chaulenzi amesema kuwa, Kituo hicho kina hudumia  wananchi wengi kwa siku  na kukamilika kwa mradi huo inaenda kusaidia uboreshaji wa huduma na kuwezesha wagonjwa wengi kupatiwa huduma kwa haraka

Awali kulikua na uchache wa miundombinu iliyopelekea huduma kupatiwa kwa wagonjwa inatumia muda mrefu ila Sasa changamoto hiyo imekwisha.alisema chaulenzi

Nae , Mwakilishi wa wananchi ambaye pia ni mkazi wa Kimara Thomas Mbogo amelishukuru kanisa kwa msaada huo ambao unaenda kuleta manufaa makubwa kwa wakazi wa eneo hilo na Wilaya nzima ya Ubungo na kuwaomba kanisa kuendelea kusaidia Ubungo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.