• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAPOKEA MILIONI 90 UBORESHAJI WA MADARASA

Posted on: October 10th, 2023

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Elias Ntiruhungwa akiongozana na watalaam amefanya ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa mradi Shule ya Sekondari ya Ubungo NHC na maboresho ya Soko la Ndizi Mabibo ikiwa ni mwendelezo wa kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi hiyo na kuhakikisha inakamilika kwa wakati

Akiongea wakati wa ukaguzi huo Ntiruhungwa ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo na amesisitiza kasi hiyo iendelee ili  dhamira ya serikali ya kukamilisha miundombinu  hiyo kwa wakati itekelezwe kwa vitendo.

Miradi hiyo iliyokaguliwa Oktoba 10,2023  ipo katika hatua ya umaliziaji ambapo kwa upande wa ujenzi wa banda katika Soko la Mabibo kazi inayoendelea ni kuezeka au kupiga bati na baada ya hapo wafanyabiashara wataanza kutumia banda hilo.

Aidha, katika mwendelezo wa uboreshaji wa miundombinu ya elimu,  Ntiruhungwa amesema Manispaa ya Ubungo imepokea fedha shilingi milioni  90 kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya madarasa katika shule ya msingi NHC ili kuwa na mazingira bora ya ufundishaji na ujifunzaji.

Mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari NHC kwa mfumo wa ghorofa  unagharimu shilingi 877,098,112.07  huku milioni 600 zinatumika  kwenye uboreshaji wa soko la Ndizi Mabibo kwa awamu ya kwanza



Mkurugenzi manispaa ya Ubungo Elias Ntiruhungwa akiwa na wataalam katika ukaguzi wa miradi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.