• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YAPONGEZWA KWA UTEKELEZAJI MZURI WA MIRADI

Posted on: September 29th, 2023

Tunawapongeza viongozi wetu wa Wilaya ya Ubungo kwa kazi kubwa wanaoifanya ya utekelezaji wa miradi kwa weledi na ufanisi

Hayo yameelezwa  tarehe 29 septemba, 2023 na wajumbe wa Halmashauri kuu Wilaya ya Ubungo walipotembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika Manispaaa ya ubungo

Wakitembelea miradi hiyo wajumbe walipongeza juhudi za viongozi ngazi ya kata,madiwani na Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na timu ya wataalam wa Manispaa kwa kusimamia miradi vizuri

Aidha, Wajumbe walitembelea  Zahanati ya Temboni mradi uliojengwa kutokana na fedha za nguvu ya wananachi shilingi milioni 16,900,845, mapato ya ndani milioni 15, mfuko wa jimbo milioni 3, fedha za ruzuku milioni  112

Na pia mradi wa Ujenzi wa shule mpya King'azi Sekondari inayojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 528 ambapo ujenzi wake mpaka sasa umefikia 75℅

Pia walifanikiwa kutembelea  kikundi cha akina mama cha ufugaji wa kuku kilichopo Kibamba ambacho kilipata fedha za mikopo ya 10℅ ambacho kilipata mkopo milioni 10 awali na baada ya kurejesha walipata tena milioni 30

Miradi mingine iliyotembelewa ni kituo cha Afya Amani , ujenzi wa chuo cha VETA-kibamba, Stendi ya mabasi Magufuli bus terminal na Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Girls.


wajumbe wa Halmashauri kuu wakikagua mradi wa kina mama wanaofuga kuku waliopo kibamba

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.