• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UBUNGO YATOA EKARI 12 KISOPWA KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI TAKA.

Posted on: May 13th, 2023



Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imetenga eneo lenye ukubwa wa ekari 12 kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kuchakata maji taka unaotekelezwa na DAWASA.


Akiongea katika kikao kilichofanyika leo tarehe 13 Mei, 2023 Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Fadhili Husein amesema katika utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na DAWASA ndani ya Manispaa hiyo, Manispaa ya Ubungo ilipata jukumu la kutoa maeneo ambayo miradi hiyo itatekelezwa.

Ikiwemo mradi wa ujenzi wa vyoo vya Umma kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi, mradi wa ujenzi wa kuchakata maji taka na mradi wa ujenzi wa mifumo rahisi ya kuondoa maji taka majumbani.


Kwa upande wake Mhandisi wa DAWASA Eng. Gilbert M. Rugaitika amesema miradi hiyo itatekelezwa kwa Halmashauri zote za Dar es Salaam ambapo kwa Ubungo mradi wa uchakataji wa maji taka utatekelezwa eneo la Kisopwa ambapo Manispaa ya Ubungo imetoa eneo lenye ukubwa wa Ekari 12 na tayari Mkandarasi amepatikana na ujenzi utaanza hivi karibuni.

Eng. Rugaitika ameendelea kueleza kuwa mradi wa ujenzi wa vyoo vya Umma kwa Manispaa ya Ubungo vyoo hivyo vimejengwa kwenye maeneo mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Mloganzila, Soko la Mbezi, Soko la Manzese, Soko la Shekilango, External Makuburi na stendi ya Simu 2000 ambapo vyoo hivyo vimekamilika kwa asilimia 75 na ujenzi wake utakamilika kufikia mwezi Juni, 2023.


Aidha, Eng. Rugaitika amesema kutokana na uwepo wa water table kuwa juu kwa maeneo mengi ya Dar es Salaam ambayo inapelekea wananchi kushindwa kuchimba mashimo ya kuhifadhi maji taka, hivyo DAWASA imekuja na mpango wa mradi wa ujenzi wa mifumo rahisi ya kuondoa maji taka majumbani ambao itaanza utekelezaji wa mradi huo kwenye maeneo ambayo yameathirika kwa kiasi kikubwa.


Nae Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Juma Jafarry Nyaigesha amewashukuru DAWASA kwa utekelezaji wa miradi hii muhimu ambayo kwa kiasi kikubwa itaenda kutatua changamoto za wananchi zinazotokana na maji taka kwenye maeneo yao na kuahidi kutoa ushirikiano madhubuti baina yao na DAWASA.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.