• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KLABU YA MICHEZO MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: September 19th, 2023

Kufuatia kuanzishwa kwa Klabu ya michezo ya Manispaa ya Ubungo  tarehe 19 septemba, 2023 Manispaa hiyo chini ya usimamizi wa Afisa Uchaguzi wa Manispaa hiyo Ndg. Paul Ngunga imefanya uchaguzi wa Viongozi wa chama cha klabu ya michezo Manispaa ya Ubungo.

Katika uchaguzi huo jumla ya kura 82 zimepigwa na wanachama wa klabu hiyo kati ya wanachama 135 waliojiandikisha kwenye daftari la wanachama wa klabu hiyo.

Uchaguzi huo ulihusisha nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya Mwenyekiti, Mwenyekiti Msaidizi, Katibu, Katibu Msaidizi, Mweka hazina na wajumbe wanne.

Wagombea waliofanikiwa kushinda uchaguzi kwa nafasi hizo ni pamoja na Bhoki Omar Mwenyekiti, Abdallah Kimanywa Mwenyekiti Msaidizi, Subira B Byarugaba Katibu, Victoria K Nyanda Katibu Msaidizi, Jacqueline A Lyimo Mwekahazina na wajumbe wanne akiwemo Hamisa I Ng’umbi, Martha J Nicholaus, Prisca Goliama na Mwanahulu M Boga.

Washindi hao kwa kushirikiana na Kitengo cha Utamaduni, sanaa na michezo cha Manispaa hiyo kinachosimamiwa na Afisa Utamaduni wa Manispaa hiyo Ndg. Kassim Semfuko wataenda kuongeza ari kwenye suala la michezo ndani ya Manispaa ya Ubungo na kuifanya Ubungo kuwa bora kimichezo ndani na nje ya Nchi ya Tanzania.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.