• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UGENI KUTOKA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KUTEMBELEA UBUNGO

Posted on: September 30th, 2021

Ugeni kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara  OR-Tamisemi wamefika Manispaa ya Ubungo  tarehe 29.9.2021  kwaajili ya kutengeneza mwongozo wa kitaifa na kupokea maoni ya wajasiriamali juu ya namna bora ya uanzishwaji wa maeneo rasmi kibiashara

Akiongea wakati wa kikao hicho Dr.Consolata Ishebali Mkurugenzi wa Biashara ndogo na zakati (SME) aliwaeleza wajasiriamali hao dhumuni la ujio wao  ambao ni kutengeneza mwongozo na kusikiliza changamoto zao  Kama wajasiriamali wadogo pamoja na kuyapokea mapendekezo yao

Nishukuru tumeona Hali halisi na wengi wenu mmezungumzia uhitaji wa  mazingira rafiki kibiashara na  niwaaidi tunaenda kuyafanyia kazi changamoto zenu zote  ikiwa ni moja ya agizo la serikali kuhakikisha wajasiriamali wote wanapata sehemu salama zakufanyia biashara

Aidha kiongea kwa niaba ya Mkurugenzi ambaye pia ni Afisa maendeleo ya Jamii  wa Manispaa ya Ubungo Rose Mpeleta ameushukuru Uongozi wa machinga na ugeni kutoka wizarani kwa kuweza kuwasikiliza changamoto za  wajasiriamali hao wadogo wa  Wilaya ya Ubungo ikiwa ni njia moja wapo wa kero kufikishwa katika mikono sahihi kwaajili ya utatuzi

Nae mwakilishi wa wajasiriamali hao wamewashukuru viongozi kwa kuweza kuwasikiliza kero zao na kuwaomba kuweza kupatiwa maeneo rafiki ambayo hayata warudisha nyuma kibiashara na hata kiuchumi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.