• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UHARIBIFU WA MAZINGIRA UBUNGO SASA BASI

Posted on: September 8th, 2022


Manispaa ya Ubungo Leo 08/09/2022 imefanya kikao cha kujadili suala la uchimbaji holela wa mchanga kilichojumuisha wataalamu toka Bonde la Wami/Ruvu, NEMC, Afisa Mazingira, Waheshimiwa Madiwani, Wenyeviti na Watendaji wa Kata na Mitaa Manispaa ya Ubungo lengo ikiwa ni kudhibiti uharibifu wa mazingira.
Akiongea kwenye kikao kazi hicho Dkt. Elizabeth Mshote Mwenyekiti kikosi kazi Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza sheria ya usimamizi wa rasilimali za maji Na. 11 ya mwaka 2009 inazitaka Bodi za maji za mabonde nchini Tanzania Bara kusimamia na kuratibu shughuli zote zinazofanyika ndani ya hifadhi za vyanzo vya maji kama vile mito, mabonde, maeneo oevu, maziwa, chemchemi na mabwawa.

Mshote ameendelea kueleza kutokana na uchimbaji holela wa mchanga katika mito na mabonde na kwakuwa kumekuwa na uhitaji mkubwa wa mchanga ambao unatumika kwa ajili ya kujengea miundombinu mbalimbali yakiwemo majengo ya Umma na binafsi na miradi mingine kumekuwa na uharibifu mkubwa wa mazingira hasa kwenye mito na mabonde.
 
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amewataka watendaji wa Kata na Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa kuhakikisha wanadhibiti na kuyalinda mazingira juu ya uchimbaji holela wa mchanga.
Aidha, James amesema kuanzia ngazi ya Halmashauri, NEMC, Bonde Wami, Viongozi wa Kata na Mitaa kila mmoja anawajibu wa kufanya juu ya udhibiti wa mazingira.
James amewataka watu kuacha tabia ya kuchimba mchanga kiholela kwani kufanya hivyo kunapelekea uharibifu wa mazingira tena unaopelekea kupoteza makazi ya watu. Na amesema mtu yeyote atakayefanya hivyo atachukuliwa hatua za kisheria na kama ni kampuni basi itafungiwa.

Mbali na hayo James amelitaka jeshi la polisi kuhakikisha watu hao wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria kwani kosa la uharibifu wa mazingira ni sawa na makosa mengine ya uvunjifu wa sheria.

“Tusipoipambania vizuri vita ya udhibiti wa mazingira vita zingine zitatushinda. Hakuna uchumi bila mazingira, hakuna utalii bila mazingira, hakuna diplomasia bila mazingira, hakuna siasa bila mazingira lindeni mazingira” Alisema James.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.