• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UJENZI WA MADARASA 8, MADAWATI 300 KUPUNGUZA KERO YA WANAFUNZI KUKAA CHINI KING'ONGO

Posted on: January 18th, 2021

Kufuatia upungufu wa madarasa  na madawati katika shule ya Msingi Kingo'ngo iliyopo  kata ya Saranga Manispaa ya Ubungo unaopelekea wanafunzi wengi kukaa chini, Manispaa itaanza mara moja  ujenzi wa vyumba 8   vya madarasa na kutengeneza madawati 300 kwa gharama ya shilingi milioni 160 ikiwa ni hatua ya kutatua changamoto hiyo.

 Shule hiyo yenye wanafunzi 2505, kwa sasa ina madarasa 10 Kati ya hayo madarasa 3 ni mabovu ambapo kutokana na uchache huo wanafunzi wengi wanakaa chini na wengine wanasomea nje.


Manispaa imefikia uamuzi wa kujenga miundombinu hiyo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mhe. Rais  Dkt John Pombe Magufuli   alilolitoa leo Januari 18, 2021 akiwa Mjini bukoba  la kutaka madarasa yajengwe na kutengeneza madawati kwa haraka ili wanafunzi wasikae chini wala kusomea nje 


Mhe Rais ametoa agizo hilo  kufuatia taarifa iliyotolewa na mwananchi na kusambazwa kwenye mitandao wa kijamii ikionesha wanafunzi  wengi wakisoma  darasa moja wakiwa wamekaa chini na uwepo wa baadhi ya  madarasa mabovu.


Akiongea na wananchi wa king'ongo  Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori amewahakikishia wananchi hao kuwa ujenzi wa madarasa hayo utaanza mara moja ili kuhakikisha tatizo la wanafunzi kukaa chini linatatuliwa kwa kiasi kikubwa.






Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.