• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UPUNGUFU WA DAMU KWA WAJAWAZITO NI HATARI, MKATOE ELIMU

Posted on: March 20th, 2024

Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto Manispaa ya Ubungo Rehema Panga amewasisitiza wauguzi kuhakikisha wanawapa elimu wakina mama wajawazito wanapo kwenda kliniki kuzingatia vyakula na dawa za kuongeza damu kwa ajili ya kusaidia  kuepukana na vifo vya mama na mtoto wakati wa kujifungua


Panga amesema hayo  tarehe 20 March, 2024  ikiwa ni siku ya mwisho ya  mafunzo kwa Wauguzi, maafisa Ustawi na maafisa lishe kuhusiana na mikakati ya kupunguza ongezeko la Utapia mlo, kifua kikuu na Ukatili wa kijinsia kwa watoto

Panga amesema kuwa, katika kuhakikisha vifo vya mama na mtoto  vinapungua ni lazima wauguzi katika vituo vya afya  kuhakikisha wanafatilia kwa ukaribu wajawazito wote wanaokutwa na changamoto ya upungufu wa damu na maradhi mbalimbali wanapoenda kliniki ili  kuokoa maisha ya mama na mtoto aliye tumboni

"Upungufu wa damu ni hatari ni jukumu la kila mama kuhakikisha anazingatia dawa wanazopewa kliniki kwa ajili ya kuongeza damu" amesisitiza Panga

Aidha, Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile aliongezea kwa kuwasisitiza  wauuguzi kuhakikisha wanawasisitiza wajawazito kula vyakula vinavyosaidia katika ujauzito wake kwaajili ya kuboresha makuzi ya mtoto aliyetumboni pamoja na afya ya mama.

"Ni muhimu mjamzito na mama anayenyonyesha kupata lishe bora" amesisitiza Mossile

Mossile amezungumzia pia elimu ya mama anayenyonyesha na kuwasisitiza Wauguzi na Maafisa Ustawi wanapokuwa katika jamii watoe elimu ya umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto ili jamii ielewe umuhimu wa maziwa ya mama kwa afya ya mtoto ikiwemo kumkinga mtoto na maradhi.

Na pia Mossile amesisitiza swala la unyonyesha wa watoto maziwa ya mama na  wanapoanza kula wapewa vyakula kufuata mlo kamili na umri wa mtoto.





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.