• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

UZINDUZI WA KAMATI YA SENSA YA MAJARIBIO WILAYANI UBUNGO

Posted on: September 17th, 2021

Kamati ya Sensa ya Majaribio Wilaya ya Ubungo yazinduliwa rasmi tarehe 17.9.2021 ambayo tayari imeshapatiwa mafunzo kwaajili ya kuendelea na  zoezi la kuhesabu watu na makazi ambayo hufanyika kabla ya sensa kamili itakayofanyika mwaka 2022

Lengo la kamati hizo ni kusimamia kazi za sensa kwa ujumla katika maeneo yao, kutoa ushauri wa utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya sensa, kuitangaza sensa kwa maana ya kuelimisha umma juu ya umuhimu wa sensa pamoja na umuhimu wa Kila mtu kuhesabiwa, 

Na pia kutekeleza majukumu ya kupokea na kusimamia utekelezaji  wa miongozo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 kutoka katika kamati ya sensa mkoa na kushiriki katika kuhamasisha watu wakati wa maandalizi ikiwa ni pamoja na wakati wa kutenga maeneo ya kijiografia na wakati wa kuhesabu watu.  n.k

Akizindua rasmi kamati hiyo Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha wanafanya zoezi hilo kwa ufanisi mkubwa ili Wilaya ya Ubungo iwe mfano katika utekelezaji wa zoezi hilo

Mkazingatie  majukumu yenu ili serikali iweze kupata takwimu kamili ambayo itaweza kutumika katika kuleta maendeleo 

kwa Wilaya ya Ubungo zoezi hili litafanyika katika kata ya manzese mtaa wa chakula Bora na kuhimiza kuhakikisha waratibu wanawapa  elimu wananchi ambayo itawafanya waweze kutoa ushirikiano mzuri ili kufikia lengo





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.