• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

VIJANA 100 KUJIAJIRI KUPITIA KILIMO CHA KISASA

Posted on: November 15th, 2021

Vijana 100 kutoka kata 14 za Manispaa ya Ubungo wanapatiwa mafunzo ya kutengeneza na kutumia kitalu nyumba eneo la shamba darasa lilipo Mtaa wa kibesa Kata ya mbezi   ikiwa njia ya kuzalisha ajira Kwa Vijana hao

Mafunzo hayo yanayoratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu,kazi Vijana,ajira na Wenye ulemavue kwa kushirikiana na wataalamu kutoka chuo kilimo cha Sokoine  yanalenga kufundisha Jamii hasa Vijana ujuzi wa namna ya kujenga vitalu nyumba na kulima Kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba kama fursa ya kupata ajira kupitia ujuzi huo.

Mradi huo ni sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa Serikali katika kutatua changamoto za ajira Kwa Vijana na kuboresha kipato kwa watanzania.

Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Diwani wa Kata ya Mbezi Mheshimiwa Ismail Lyangama  Malata ameishukuru Serikali kwa mafunzo hayo kwa Vijana,    pia ameipongeza Manispaa ya Ubungo Kwa kutumia milioni 32  fedha za mapato ya ndani kuchimba kisima Kwa ajili ya kuwezesha kilimo cha umwagiliaji katika mradi huo.

Mwakilishi kutoka  Ofisi ya Waziri Mkuu  alisema kuwa Mafunzo hayo ya kujenga uwezo Kwa Manispaa ya Ubungo yatatolewa Kwa awamu mbili ambapo awamu ya Kwanza itahusisha Vijana 20 watakaojifunza kutengeneza kitalu nyumba na awamu ya pili itahusisha Vijana 100 watakaojifunza kilimo  cha kisasa kupitia kitalu nyumba.

Aidha, Baada ya mafunzo hayo Serikali inategemea Vijana hao watajiajiri kwenye sekta ya kilimo cha kisasa ambacho uzalishaji wake unazingatia ubora na kiwango kikubwa cha uzalishaji.

"Tumieni fursa hii kuzingatia mafunzo ili mpate ujuzi wa kujenga kitalu hicho muwe walimu Kwa wengine, pia kuhamasisha kilimo maeneo ya mjini ambapo eneo dogo, maji kidogo na mavuno mengi yenye ubora" alieleza mwakilishi huyo.

Aidha ili kutambua ujuzi waliopata Vijana hao, Ofisi ya Waziri Mkuu itawatunuku vyeti vya ushiriki wale wote  watakaofuzu.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.