• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

VIKUNDI 22 VYA WAJASIRIAMALI VYAPEWA UTARATIBU UNUNUZI WA PIKIPIKI NA BAJAJI

Posted on: January 14th, 2021

Jumla ya Vikundi 22 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu waliopata mikopo ya vyombo vya moto yaani Pikipiki, Toyo na Bajaji wamepewa maelekezo na utaratibu wa namna ya kununua vyombo hivyo kwa kuzingatia viwango vya ubora.

Vikundi hivyo vimepokea maelekezo hayo   kutoka ldara ya Maendeleo ya Jamii na Vijana ya Manispaa ya Ubungo mara baada ya kupata  mkopo huo  uliotolewa na Manispaa mapema Januari,2021 na  kueleza kuwa vikundi vitaunda Kamati za kufanya manunuzi kadiri  ya mahitaji yao sambamba  na  kuweka uwazi wa ununuzi huo.

Akiongea wakati wa kutoa maelekezo hayo Afisa Maendeleo ya Jamii na Vijana wa Manispaa ya Ubungo Bi. Rose Mpeleta ameeleza kuwa Manispaa ya Ubungo imeamua kutumia utaratibu huo ili kuvipa uhuru vikundi katika kununua vyombo hivyo na Manispaa itawajibika kuwasaidia kulipa fedha hizo kwa wazabuni husika.

"Kila chombo  kitasajiliwa kwa jina la kikundi lakini Kadi zitatunzwa  na Manispaa mpaka watakapomaliza marejesho kwa mujibu wa utaratibu ndipo Kadi hizo watarudishiwa" alieleza Bi. Rose Mpeleta.

Mpeleta ameendelea kuwasisitiza wanavikundi hao kuwa, baada ya kununuliwa vyombo hivyo vitakaguliwa ili kujiridhisha na viwango vya ubora kulingana na mahitaji ya wanavikundi.

Mpeleta amefafanua kuwa "Huu ni utaratibu mpya umewekwa, hapo zamani vikundi vilikuwa vinakabidhiwa fedha na kufanya manunuzi vyenyewe hali ambayo vikundi vingine vilipata vyombo ambavyo havina ubora"

Stuwart Banda ni mwanakikundi wa Kikundi cha Vijana cha Jiwezeshe kutoka Kata ya Goba ameishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwawezesha vijana kupitia mikopo isiyo na riba kwani inatusaidia sana katika kujikwamua kiuchumi na kutimiza malengo yao.

Aidha, Stuwart amewasii vijana kuwa wavumilivu kwenye biashara maana wengi hawavumilii changamoto, mfano kikundi chetu kilianza na wanachama 27 lakini mpaka sasa kimebaki na wanachama 8 tu na baada ya kupata mkopo huu kila mwanakikundi atakuwa anamiliki bodaboda yake.

Moja ya kikundi cha vijana  (waliokaa mstari wa mbele) waliopewa mkopo wa vyombo vya moto  na Manispaa ya Ubungo  

Watu wenye ulemavu nao wamesitizwa kutokata tamaa kwani mikopo inayotolewa na Manispaa inawahusu pia wao, jiungeni kwenye vikundi ili mpate mikopo ya kukuza biashara zenu badala ya kukaa na kunung'unika " alieleza Mary Chibago Mwanachama wa Kikundi cha *Five Star's Disabled Group.*

Hadi kufikia Januari,  2021, Manispaa ya Ubungo imetoa mikopo isiyo na riba yenye jumla ya Shilingi bilioni 1.1 kwa vikundi 111. Mikooo hiyo ina lengo la kuviwezesha vikundi hivyo 


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.