• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

VIONGOZI WA MITAA WATAKIWA KUHAKIKI KAYA HEWA ZA TASAF

Posted on: January 8th, 2021

Viongozi wa  mitaa 50 Manispaa ya Ubungo  inayotekeleza mradi wa kunusuru kaya kupitia Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF wameagizwa  kuhakiki walengwa wanaonufaika na mfuko huo  ili kuhakikisha  kaya zisizostahili maarufu kama Kaya hewa zinaondolewa kwenye mpango huo.

Agizo hilo limetolewa leo januari 8, 2021 na Mratibu wa TASAF Manispaa ya Ubungo  Wakuru Nyaratha wakati alipofanya ziara ya kutembelea  viongozi hao na kueleza kuwa zoezi hilo la  uhakiki ni mwendelezo wa  uhakiki uliofanyika mwezi julai na novemba mwaka 2020 lengo ikiwa ni kuhakikisha mpango huo unanufaisha walengwa halisi.

Wakuru amefafanua kuwa  uhakiki uliofanyika awali mwezi julai na mwezi novemba mwaka  2020 kaya zote zilizobainika kukosa sifa ziliondolewa kwenye mfumo wa ruzuku ya TASAF hivyo  uhakiki wa sasa ni kujiridhisha zaidi endapo kuna kaya isiyo na sifa na bado inanufaika na mpango.

Wakuru amesema kuwa "muongozo wa TASAF unataka kaya zinazonufaika zisiwe kaya za viongozi wa serikali za mitaa, wastaafu, waajiriwa na watu wenye vipato vya kujitoshereza"

Baada ya uhakika  wa mwezi julai na novemba 2020, Manispaa ya Ubungo ina jumla ya kaya  2189 zinazonufaika na mfumo wa ruzuku kwa walengwa  TASAF  wa  kati ya kaya 2656 zilizokuwepo awali. Aidha katika uhakiki kaya 20 zilihama makazi, kaya 16 zilijitokea kwa hiari huku kaya 11 zikipoteza sifa kutokana na kifo, kaya 400 hazikujitokeza kwenye uhakiki.

Kwa upnde wake, Diwani wa kata ya Goba  Mhe. Ester Radislaus Ndoha  amekiri kuwepo kwa malalamiko ya baadhi ya kaya zisizo na sifa kunufaika na rukuzu inayotolewa na TASAF  huku wale wanaostahili kukosa fursa hiyo.

"Nitasimamia kuhakikisha tunafanya uhakiki makini ili kaya zisizo na sifa wakiwemo viongozi wa serikali za mitaa ziondolewe kwenye  mpango kama muongozo unavyotaka, lakini pia kumuunga mkono mheshimiwa Rais ambaye anataka mpango huu uwasaidie wale wasiojiweza kiuchumi angalau wawe na uhakika wa kupata mahitaji ya msingi.

Kwa malipo ya mwezi wa Oktoba, kaya  jumla ya shilingi  137,034,000 zilitolewa kwa kaya 1595.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.