• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

VITUO VYA AFYA, ZAHANATI NA HOSPITALI MANISPAA YA UBUNGO ZAPONGEZWA

Posted on: August 10th, 2023

Ikiwa ni siku ya pili ya hitimisho la kikao kazi cha tathmini ya mwaka ya utekelezaji wa mpango kazi wa Idara ya Afya, ustawi wa jamii na lishe kwa mwaka 2022/2023. Pongezi zimetolewa kwa vituo vya afya , zahanati na hospitali za serikali na binafsi  zilizofanya vizuri kwa mwaka huo.

Akitoa Pongezi hizo Kaimu  Mkurugenzi Ndg. Vosta Mgina amewapongeza kwa utoaji mzuri wa huduma kwa wananchi katika vituo  ya afya na kuwaomba  kuendelea kujali afya za watu na kufanya kazi kwa uweledi.

"Kila mmoja atimize wajibu wake anapokuwa katika kituo chake cha kazi" alisisitiza Mgina

Aidha, Mganga Mkuu Manispaa ya Ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka amesema kuwa kuna vituo ambavyo vimeonesha ubunifu mkubwa na kusimamia vyema ukusanyaji wa mapato vinastahili kupewa zawadi ili viendelee na ubunifu zaidi.

Aliendelea kwa kusema kuwa "wote tunafanya vizuri ila kuna wanaofanya vizuri zaidi na wanastahili kupongezwa na niendelee kuwasisitiza kuendelea kufanya kazi kwa bidii"

Nae Mwenyekiti wa Bodi Ndg. Allen Sampoli alisema kuwa niwapongeze kwa  kufanya kikao hiki kwani kinalenga kuangalia maendeleo na changamoto mbalimbali za vituoni  ambapo kama Idara itatakiwa kuyafanyia kazi ili kuleta matokea chanya na pia ni wape pongezi  kwa kupewa cheti cha hati safi katika utoaji wa  huduma nzuri.


Hali kadhalika, Zoezi la utoaji wa vyeti vya pongezi kwa vituo Mahili vilivyofanya vizuri kwa mwaka wa fedha 2022/2023 zimetolewa kwa Hospitali ya Sinza na Ekenywa na vituo vya afya ni Mbezi na Kimara na pia  Zahanati ya Goba, Msewe,Mabibo, Kibwegere na Mburahati.


Mganga mkuu amewashukuru wadau mbalimbali wanaoshirikiana vyema na Halmashauri katika utoaji  wa huduma ambao ni PASADA, MDH,UNTOLD,STEPSTANZANIA

















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.