• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAFANYABIASHA WAKUBALI KUANZA KULIPA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA

Posted on: August 3rd, 2022

Wafanyabiashara wa kusaga unga Kata ya Manzese Manispaa ya Ubungo kwa hiari wamekubali kuanza kulipa ushuru wa kushusha na kupakia  kulingana na uzito wa gari baada ya kukaa kikao na kukubalina na uongozi wa Manispaa hiyo.

Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuwasilisha kwenye kikao hicho mapendekezo ya kuanza kutoza ushuru wa kushusha na kupakia ambapo wafanyabiashara wameishuruku Manispaa kwa kuweka kikao hicho kilichotoa fursa ya kutoa maoni yao kwani wangeweza kutekeleza sheria hiyo bila kutushirikisha.

Akiwasilisha mapendekezo ya ushuru huo, Mweka Hazina wa Manispaa Ndg. George Mzeru amewaeleza wafanayabiashara hao kuwa, Halmashauri imeona vyema kukutana na wafanyabiasha wa mashine za kusaga unga ili kujadili na kukubaliana kwa pamoja viwango rafiki vya kutoza kwenye chanzo hicho ili kila mfanyabiashara alipe badala ya kukwepa.

Baada ya majadiliano ya kikao hicho, wafanyabiashara wamekubali kulipia ushuru huo kwa siku, mwezi na mwaka ambapo kwa siku gari ya tani 2 hadi 3.5 itatozwa shilingi 5000, kwa mwezi 20,000 na kwa mwaka 300,000, kwa gari lenye uzito wa tani Zaidi ya 3.5 mpaka 10 kwa siku 10,000, kwa mwezi 50,000 na kwa mwaka 500,000 huku gari ya Zaidi ya tani 10 itatozwa shilingi 15,000 kwa siku, shilingi 70,000 kwa mwezi na shilingi 700,000 mwaka

“Uhuru wa kushusha na kupakia upo kwa mujibu wa sheriandogo za manispaa, halmashauri ingeweza kutekeleza sheria hiyo bila kuwashirikisha lakini kwa ajili ya kuboresha mahusiano na kujenga ukaribu na wafanyabiashara tumeona tukubaliane viwango rafiki ambavyo kila mfanyabiashara atalipa kwa hiari na bila kumuumiza” alifafanua Mzeru

Kwa upande wake mwenyekiti wa wafanyabiashara wanaosaga na kuuza unga Oscar Munisi ameipongeza halmashauri kwa kuitisha kikao hicho ambacho kimewapa fursa ya kutoa mapendekezo na kukubaliwa na Manispaa “ hii ni heshima kubwa kwetu na tunaahidi kulipa ushuru huu wa kushusha na kupakia  bila kikwazo kwani viwango hivi ni rafiki”

Aidha, Mwenyekiti huyo amesisitiza Manispaa kuendelea kutoa elimu kwa wafanyabaishara juu ya tozo,ada, ushuru na kodi mbalimbali za halmashauri ili kujenga uelewa na utayari wa kulipa kwa hiari kwani mfanyabiashara akielimishwa vizuri hakatai kulipa kodi ya serikali.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.