• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

Posted on: August 13th, 2025

Manispaa ya Ubungo kupitia wataalam wa idara ya maendeleo ya jamii wamefanya ziara ya kutembelea masoko yaliyopo katika Wilaya hiyo ambapo tarehe 13 agosti, 2025 wamefika katika Soko la Mabibo, Soko la Big brother na soko la shekilango  na Kutoa elimu kuhusiana umuhimu wa wafanyabiashara wadogo  kuwa na vitambulisho vya wafanyabiashara ndogondogo ili waweze kutambulika.

Akizungumza katika ziara hiyo Mratibu wa wafanyabiashara ndogondogo katika Wilaya ya Ubungo  Bi. Stela Juma amewataka wafanyabiashara hao kila mmoja kuwa na kitambulisho cha umachinga ambacho kitamuwezesha kujulikana kupitia eneo analofanyia biashara zake za kila siku na kumwezesha kupata Mikopo  inayotolewa na Serikali ya 10% ambayo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeshafungua dirisha hilo

Ameendelea kwa kuwaeleza kuwa, vitambulisho hivyo vinamwezesha  mfanyabiashara kuwa katika mipango ya maendeleo ambayo inaweza kuandaliwa kwaajili ya kuboresha ustawi wa wafanyabiashara katika masoko.

Aidha, Bi stela amewaeleza wafanyabiashara hao kuelewa umuhimu wa vitambulisho hivyo pamoja na kutoa elimu kuhusuMikopo ya wafanyabiashara ndogondogo inayotolewa na Wizara ya Maendeleo na  kuratibiwa na  benki ya NMB na mikopo hiyo inariba nafuu ya asilimia 7 na yenye masharti nafuu ambayo hayamuumiza mfanyabiashara ndogondogo bali kumkuza kiuchumi

Nae mfanyabiashara Kulwa anayejihusisha na uuzaji wa matunda amewaasa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata vitambulisho hivyo kwani si jambo la hiari ni agizo na vina msaada mkubwa kwani vinampa utambulisho mjasiriamali

Ziara hiyo ni maandalizi ya jukwaa la wafanyabiashara linalotegemewa kufanyika ili kutatua changamoto za wafanyabiashara wadogo (Machinga) baada ya kamati kupita na kutambua wajasiriamali katika masoko hayo na kuwapa elimu juu ya umuhimu wa kujisajili na kutambulikana kama wafanyabiashara wadogo (Machinga)

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO (MACHINGA) WAPEWA ELIMU UMUHIMU WA KITAMBULISHO CHA MJASIRIAMALI

    August 13, 2025
  • BANDA LA UBUUNGO LAFURIKA, MAONESHO YA NANE NANE - MOROGORO

    August 08, 2025
  • MHE.MALIMA KATIKA BANDA LA UBUNGO MAONESHO NANENANE

    August 06, 2025
  • UBUNGO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA DUNIANI, ZAHANATI YA GOBA

    August 05, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.