• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAFANYAKAZI HODARI UBUNGO WATUNUKIWA VYETI, FEDHA TASLIMU

Posted on: May 1st, 2024


Leo  ikiwa ni siku ya Wafanyakazi duniani,  watumishi wa Manispaa ya Ubungo wameshiriki kwenye sherehe hizo zilizofanyika  kimkoa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambapo watumishi hodari wametunukiwa vyeti vya pongezi na fedha taslimu  kutambua utendaji wao  bora wa kazi.

Maadhimisho ya Siku ya mei mosi 2024, yenye kaulimbiu isemayo "nyongeza ya mishahara ni msingi wa mafao bora na kinga dhidi ya hali ngumu ya maisha" ambapo watumishi wanategemea maboresho makubwa ya maslahi ikiwemo kuongezewa misharaha na kusughulikia kikokotoo ambacho kimekuwa kilio cha watumishi wengi.

Akihutubia watumishi hao Mgeni rasmi wa maadhimisho hayo Mhe. Albert Chalamila Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, amewapongeza watumishi  kwa kufanya kazi kwa bidii na weledi mkubwa kwa maendeleo ya Taifa na kueleza kuwa serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha miaka 3 imeendelea kuboresha maslahi ya watumishi ikiwemo upandishwaji wa vyeo kwa watumishi, hivyo changamoto zilizobainishwa na wafanyakazi hao zitashughulikiwa

Aidha, Mhe. Chalamala amewakumbusha wafanyakazi kuwa wakati serikali inashughulikia maslahi yao ni vema wakatambua kuwa kudai haki kunaenda sambamba na uwajibikaji hivyo wafanye kazi kwa bidii na ufanisi mkubwa katika nafasi zao ambazo wameaminiwa ili kuliletea taifa maendeleo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.