• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAJAWAZITO ZINGATIENI LISHE BORA

Posted on: July 24th, 2021

Wamama wajawazito wametakiwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu ikiwemo ulaji wa lishe bora ili kupunguza tatizo la watoto kuzaliwa na uzito mdogo yaani chini ya kilo mbili na nusu hali ambayo ni hatari kwa maisha ya Mtoto

Rai hiyo imetolewa na wajumbe wa Kamati ya lishe ya Manispaa ya Ubungo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji kwa kipindi cha robo ya nne ya mwaka wa fedha 2020/21 ilionesha kuwa asilimia 34.9 ya watoto waliozaliwa kwa kipindi hicho walikuwa na uzito chini ya kilo 2.5

Akizungumza wakati wa kikao hicho , Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kheri James alisema ni vizuri  akina mama wajawazito wakazingatia maelekezo ya wataalamu wa afya kuhusu afya ya mama na mtoto yanayotolewa kwenye vituo vyetu  vya kutolea huduma za afya.

Aidha, Kheri amewataka wataalamu kuendelea kutoa Elimu ya lishe Kwa jamii kwani lishe duni  ikimwathiri Mtoto Taifa limeathirika pia katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo kuwa na watu wasio na uelewa wa kutosha, kutumia fedha nyingi kwenye bajeti ya Afya. Ili kuhakikisha elimu ya lishe inawafikia makundi yote Kheri, amesisitiza uundwaji wa clabu za lishe kwenye shule zote za Msingi na Sekondari zitakozowasaidia kutambua umuhimu wa lishe wakiwa na umri mdogo kwani hilo ni Kati ya  kundi linaloathirika zaidi na lishe duni.

Ameendelea Kwa kusema kuwa , Kamati na bodi za shule zipewe elimu ya lishe ili kuhamasisha wanafunzi kupata chakula shule pamoja na uanzishwa wa bustani za mbogamboga na matunda shuleni ili wanafunzi wanaokosa lishe nyumbani wapate  shule lakini pia kujenga utamaduni wa kula vyakula vyenye lishe.

"Suala la lishe ni mtambuka ni lazima tushirikiane kwa pamoja katika kuhamasisha jamii kuzingatia lishe bora kuanzia ngazi ya jamii, viongozi wa dini na wataalamu katika kuhakikisha tunaepuka madhara yanayotoka na ulaji wa lishe duni ikiwemo, magonjwa ya ajili, watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa na migongo wazi pamoja na kuwa na watoto wenye uwezo mdogo kiakili.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.