• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

WAJUMBE KAMATI YA RUFANI UCHAGUZI WA S/M WAPIGWA MSASA

Posted on: November 4th, 2024

Wajumbe wa Kamati ya Rufani Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo wamepata mafunzo elekezi na kula kiapo cha utii, uadilifu ,uaminifu na  kutunza siri ili kuhakikisha wanatenda haki  wakati wa kushughulikia rufaa zote zinazohusu  uchaguuzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27, 2924

.

Tukio hilo limefanyika Novemba  4, 2024 katika ofisi ya Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa mbele ya Hakimu William Julius Kaaya ambapo wamesisitizwa kuzingatia viapo hivyo wakati wa kutekeleza jukumu hilo muhimu.

Nae, Msimamizi msaidizi Bi Kissah mbila amewamesisitiza wajumbe hao kuwa na mshikamano katika kushuhulikia  rufaa zitakazowasilishwa kwa kuzingatia Sheria,Kanuni,  miongozo na taratibu zote za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.

"Mkatumie nafasi zenu vizuri katika kushughulikia masuara ya rufaa ili zoezi  la uchaguzi liende vizuri  na kwa haki ."alisema Mbila

Aidha, Kissah  amewasisitiza wajumbe kupitia kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuwa na uelewa wa kutosha juu ya kanuni za uchaguzi ili kutoa maamuzi bora yenye tija na kudumisha amani,upendo na mchakato bora wa uchaguzi.

Akitoa ufafanuzi kuhusu kiapo,Hakimu  William amesisitiza kila mmoja akiishi kiapo hicho katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwa ni pamoja na kufanya kazi kwa uadilifu ili kutenda haki

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WANANCHI ZAIDI YA 200,000 WANUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

    June 21, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI UBUNGO LAVUNJWA, DC MSANDO AWAMWAGIA SIFA

    June 20, 2025
  • VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKO LA MANZESE WALA KIAPO CHA UADILIFU

    June 19, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA LISHE KWA ROBO YA TATU MWAKA WA FEDHA 2024/25 (JANUARI - MACHI 2025)

    June 20, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.